kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Yani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!