FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 701
- 840
USHAURI MZURI,AJIEPUSHE KUWA KARIBU NA WENGINE,ATUMIE VIUNGO NA MATUNDA KAMA ALIVYOSHAURIWA HAPO JUU NA KUFANYA MAZOEZI.Nakushauri tu usiende huko wanapopaita Hospital
ndio unaenda kujimalizia huko,nina mjomba angu ilimpata
hu ushauri wa kutokwenda hospital alipewa na doctor kabisa
kilichofata ni uncle akawa anatibiwa home na kufata kila anachoambiwa
na doctor akiwa home,(ili cost sana) but kwasasa ni mzima yuko anadunda huko.
Ninachorudia kukushauri nawewe boss,Jitibie home Huko hospital utaenda tu nyanyapaliwa
na mwisho ufe kwa Mengine watu tuseme ni covid, Mzee tulia home kula nyungu na kila dawa ya asili utayoshauriwa na wataalamu.
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Hospitalini nilini vifo vilisimama? Hata magonjwa yote yakisimama maiti hospitalini lazima zitolewe tu. Maana hata za ajari hupelekwa kuhifadhiwa hukoWale wabishi wabishi wafuasi wa magufuli wazee wa "R.I.P NA MISS YOU BABA"njooni hapa msome comment ya Chaliifransisco....acheni ubishi wa kijinga
Kamanda watu wanachomoka aise...huku nilipo hospitali zina wagonjwa wengi mno n others wanapoteza maisha...hali ni mbaya ndugu zanguni....
Vichwa ngumu sidhani kama watanielewa
Hospitalini nilini vifo vilisimama? Hata magonjwa yote yakisimama maiti hospitalini lazima zitolewe tu. Maana hata za ajari hupelekwa kuhifadhiwa huko
[emoji23][emoji23] vipi ulipata nafuu yoyote after mnuso wa hiyo tigo?[emoji3]
Hahaaa dunia hii uwanja wa fujo kwahiyo mkuu ukaishia kunusa tigo ya ng'ombe na homa ikabaki pale paleπππ poleeAahh hakuna kitu wahuni tu wale
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hahaaa dunia hii uwanja wa fujo kwahiyo mkuu ukaishia kunusa tigo ya ng'ombe na homa ikabaki pale pale[emoji23][emoji23][emoji23] polee
Jamani wasije wakakuua bureππ! Nenda hospital tu upatiwe dawa dahUkiumwa nusu ya wazimu kuna chali akanambia ninuse petroli mmhh nimeona majumba yanakwenda mbio [emoji1787][emoji1787]. Huku nasikia zwiiiiii
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Vijana wa dar naomba niwaulize mbona hiyo uviko haipo huku nyasubi?
Tatizo lako hilo nami ninalo siku ya nne leo nakushauri kunywa tangawizi,limao changanya na asaliKwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Sasa hivi yamesimama. Ila si umepona?Ukiumwa nusu ya wazimu kuna chali akanambia ninuse petroli mmhh nimeona majumba yanakwenda mbio [emoji1787][emoji1787]. Huku nasikia zwiiiiii
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Acha kuhisi. Nenda kapime kabla hujapotea ukijionaKwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Niko mzima wa afya mkuu. Ahsante kwa kujali.We jamaa vipi, ulipona?π
Niko mzima wa afya mkuu. Ahsante kwa kujali.
Mimi sipingi uwepo wa corona, napingana na chanjo, chanjo ni utapeli kama utapeli mwingine.Baada ya kupitia kipindi hicho una mawazo gani na hili janga sasa? Maana mwanzoni ulikuwa unapinga uwepo wa corona na ulihamasisha maisha yaendelee bila tahadhari zozote kisha ukaja kuomba sala zetu baada ya kujihisi umeukwaa, sasa una mtazamo gani mtoa mada
Bahati yake! Angetandikwa teke la hatari akiwa kwenye harakati za kunusa tigo ya moo akufilie mbali!Hahaaa dunia hii uwanja wa fujo kwahiyo mkuu ukaishia kunusa tigo ya ng'ombe na homa ikabaki pale paleπππ polee