Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 180
- Thread starter
- #21
Ulisha wafata masheikh ukawambia kama ulivyo twambia sisi hapa?
Tayari Mkuu.ila tatizo bado lipo
Ulisha wafata masheikh ukawambia kama ulivyo twambia sisi hapa?
Why ukae Karibu na huyo mama? Ulipaswa kuhama...msio nane na huyo mama
Mkuu usibishe sana kuhusu maombi. Lipo jina linaloweza. Sema kila siku asubuhi...Yesu hii ni siku mpya naomba uonekane ktk biashara zangu ili nikujue na kuliamni jina lako. Utaona mabadiliko. Huyo mama asikutishe hata mkuu yeye ni binadamu na ww ni binadamu vle vle
Unaitajii maombii kwa kweli.
Mkuu mm ni Muislamu,nimeshafunga,kutoa sadaka na kuswali sana bado tatizo lipo pale pale.naomba unipe ushauri mwengine.
shetani hakimbiwi hata ukiamia china ndio hivyo ulishalogwa, shetani yupo kila mahaliWhy ukae Karibu na huyo mama? Ulipaswa kuhama...msio nane na huyo mama
Binafsi yangu naomba nikuulize maswali yafuatayo;
1.je,umesha au ulikuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi na binti wa huyo mama?
2.ilisha toke siku yoyote huko nyuma kumuahidi huyo mama ya kuwa utamuoa binti yake hata kama ni kwa utani?
3.Mahusiano yako na huyo mama ukiachana na biashara yakoje au yalikuwaje na kwainin ulimpa yeye kipaumbele sana badala ya ndugu zako wa karibu?
4.Na uhalali wa mali zako hizo ukoje,hii nikitilia maanani ya kuwa je ulirithishwa,ulitumia ndumbaa,ulisha wahi kudhulumu au kula viapo fulani kwa minajili ya kupata hizo mali?
5.wazazi wako au ndugu wa karibu wako wapi na umewashirikisha vipi au kwa kiasi gani katika hili?
JARIBU KUYATAFAKARI MASWALI HAYA ALAFU UTAPATA PICHA FULANI...KISHA CONNECT DOTS SASA KUONA TATIZO LIKO WAPI
MUNGU NA AKUPIGANIE KATIKA JINA LA YESU KRISTO.BARIKIWA.