Nahisi nimerogwa, naombeni msaada

Mi nashindwa kuelewa hii kauli,eti napenda mke wangu,huku unachepuka,ukiwa unampenda mtu huwezi chepuka bana acheni utani
 
Wewe ndo mchawi,inakuwaje unataka wanawake wote wawe wako wakati mwingine hukai nae kila siku
 
Yaani kama alivyoingiaga moyoni, upendo na kumjua vilikuwa vinaongezeka siku baada ya siku.

Kumtoa pia sio kama switch kusema unazima tuu kupaooi halafu imeisha, hapana,kuna huo muda lazima utapitia wa mawazo, kuumia, kughadhabika etc ndio huo ulipo sasa…

Wiki moja tuu ni ndogo isitoshe mmeachana kwa hasira za kupigiwa yaani bado unampenda,kama ingekuwa ulikuwa umemchoka, ungemsahau mapema.


Ushauri:
Wewe umeoa sioni tija ya kung’ang’ana nae kuna risky ya kuvunja na ndoa yako pia.

Usidhani kama anaweza kuwa wazi kuwa yuko ready the whole life awe option B kwako, huwezi hata kumuoa mke wa pili kama usemavyo,unamla unamhudumia lakini pia antenna zake ana search, akikutana na wa kumuoa lazima akupige chini, kifupi kashapata akili.

Angalia tija ya kung’ang’ana nae na kumucha ipi bora then take it kama mungu kakuepusha na kikombe fulani,vumilia,wiki moja bado ni ndogo, ukimtafuta tafuta itakuwa unazidi kurefusha huo muda wa kuumia.
 
Nilidhan unawaza umelogwa hupati mtoto kumbe Ni ujinga ujinga tu
 
Wachepukaji hatunaga wivu, focus na mkeo mkuu, ukiendelea kumuwaza na kumfatilia maisha yake utajikuta humjali mkeo.
 
Tatizo n ww mke wa ndoa hana mimba zaidi ya miaka 6.Na mchepuko nae hana mimba zaidi ya miaka 4.Unategemea kulogwa kweli?jipambanie kwanza ww kiongozi
 
Tatizo n ww mke wa ndoa hana mimba zaidi ya miaka 6.Na mchepuko nae hana mimba zaidi ya miaka 4.Unategemea kulogwa kweli?jipambanie kwanza ww kiongozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajakuloga boss ila ni hali inatokea pale unapokuwa na mtu kwa muda mrefu ukamzoea na kutengeneza bond nzuri pamoja na yote sababu mlikuwa Mnachati na kuongea sana pamoja iyoo kihisia ilikuweka karibu naye sana kwa wakati uwoo mm nilikiwa na mmoja toka 2017 ninaye mke tayri ila nilikuwa nampendaa sana had I mwaka Jana akaanza kuwa na mwingine ilikuwa inaniuma sana hasira chuki hadi home ila now nimemsahau tunawasiliana Mara moja moja na maisha yanaendelea namla Mara moja moja nikijisikia
 
Kinachokuuma ni huduma ulizotoa hasa hasa vitu ulivyomnunulia ambavyo anaendelea kuvitumia kwa uhuru. Ndiyo maana wengine (wenye roho ndogo) hunyang'anya kila kinachowezekana anapoamua kuachana na mwanamke ili kusiwe na chochote atakachofkiria kwamba alimfanyia mwanamke huyo na bado anaendelea kukitumia na mwanaume mwingine.
 
Wala si utani umerogwa na ukafungika na mkeo.

Hapo anatafuta uzae nae ili ndoa na mkeo muachane yeye ndio umfanye mkeo.
 
Tatizo Huna akili
 
Mkuu una story kama yangu aisee mm nasomesha chuo kabisa ila dem ndo haeleweki. Naandika sms tumetoka kugimbana sasa hivi. Nimempigia sim yupo kwenye usafiri wauma saa tatu hii namuuliza anaenda wapi ananijibu kwa shoga yake hata simwelewi
 
Umejiroga mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…