Nahisi nimerogwa, naombeni msaada

Yaani wewe maisha yako yote hukuwahi kusikia habari za wazaramo na mafiga matatu?

Hujarogwa ila umejichanganya mwenyewe. Kwa mzaramo hatuweki kambi.
 
Una mke na familia, na huwezi kuoa mke wa 2, sasa wivu kwa mchepuko unatoka wapiii? Yeye anatafuta mume wakee.

Kuhusu kurogwaa hilo halituhusuu, pambanaa baba kivyakoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu aliyerogwa hawezi hata kuhisi hicho unachohisi.
 

Pathetic sana.. unalalamikia mchepuko wkt ww mwenyewe huwezi kumuoa? Unampotezea mtu muda, achanujingabstick na mkeo
 
Huo mchepuko pia hujazaa nao?
 
Mke wangu nampenda sana
Ungekuwa unampenda sana usingetoka nje ya ndoa, hapo kuna walakini.

Huyo binti hajakuroga wala nini, wewe kama binadamu ambae umeanzisha uhusiano na mtu na kuishi nae kwa muda wa miaka 4 unadhania unaweza tu kusema leo basi ndiyo yakaisha? Never! Lazima kuna hisia zimejengeka kwenye mioyo yenu wote wawili na lazima itachukua muda kujiondoa.

Ukikaza moyo baadae unaweza kusahau pole pole.
 
Unaposikia mapenzi yanauma mpaka watu kujiua huwa unawaonaje
Mapenzi ni hatari siyo hatari ya maneno ni hatari kwelikweli
Hujalogwa mr hiyo ni starter ndogo tu
 
Hakuna uchawi hapo na kwa upande wake hakuna mapenzi tena kwako ... Focus na ndoa yako sasa.. Itakuchukua muda kusahau lakini lazima uamue kiume

Kama kuna kosa utafanya na kujuta maisha yako yote ni kumuomba mrudiane! Jifunze kwa Harmonize
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…