Nahisi nimenyewa, Mambo yangu yote hayaendi

nilijua tu kuna baadhi mtashitushwa hiyo dawa ila kwa mlio kaa vijijini haito kuwa ajabu mtu akiona vitu vya ajabu anavikojolea ili kuviua nguvu🤣🤣🤣

mkojo ni dawa...bado sija mwambia aunywe🤣🤣🤣

wapo watu wanakunywa mkojo kama dawa....!​
Kwann usinitibu nikiwa bado sijaukojoa? Si upo mwilini mwangu? Kwann usizuie baya lisinipate nikiwa bado sijaukojoa..kwann mpaka niogee au kunywa tena!!
 
Wakuu,,
Nahisi kabisa toka moyoni kuna mtu kaniwekea kimavi.Yaan vitu vyangu vyote haviendi madili yote yanabuma…

Huwezi amini nikikusimulia aisee,,,,
Kila nachojaribu kinagoma safari hii…Nishapitia msoto lakini huu si msoto n kimavi kabisa.
Naombeni ushauri kama naweza nikatoa hali hii.


Kama huna msaada positive pita ivi! Mi mwenyewe ninna stress! Tusameheane
Jf wadau
achana na mambo ya kuhisi na kuamini yasiyo halisi...

Mtangulize Mungu kwa kila jambo, ondoa woga, vaa ujasiri na bidii na kwa hakika Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi na atakuonyesha njia utafanikiwa..

ukiamini sana ushirikina Lazima utazongwa na moyo wa kukata tamaa,
na siku zote utaishia kulaumu na kulalamikia kisichoonekana na muda unaenda 🐒
 
Kwann usinitibu nikiwa bado sijaukojoa? Si upo mwilini mwangu? Kwann usizuie baya lisinipate nikiwa bado sijaukojoa..kwann mpaka niogee au kunywa tena!!
mwili una enzymes ambao wapo nje ya mwili kwenye ngozi enzymes hao ndio wanao ifanya ngozi ya kila mtu iwe na harufu.

hivyo hili jumba la nje unalo liona hili likichafuliwa kuna namna ya kuliosha sio kuoga kama unavyooga wewe.

ndio maana baadhi ya watu wanaamini kwenye bahari, kuwa maji ya bahari ni dawa ukienda kuoga. hivyo mkojo ni dawa ya kupooza nguvu mbaya anazo jihisi mtu anazo.

ni kama ilivyo sabuni tu. huwezi kuimeza ili ikusafishe. kinacho safishwa ni hili jumba la nje🤭🤭🤭​
 
Pole sana na kipindi kigumu unachoptia ongeza uvumilivu Kidogo Kwa Sasa nchi nzima mzunguko wa pesa umekuwa mgumu hasa kama mtu wa mishemishe( Dili) so ww ndo unajua vzuri Hali Yako angalia na kama unataka kwenda Kwa sangoma basi nakushauri usubr Kwa siku 90 Toka Sasa namaanisha kuanzia mwezi wa 3 mambo yatafunguka na mzunguko wa pesa utarejea.
 
Wakuu,,
Nahisi kabisa toka moyoni kuna mtu kaniwekea kimavi.Yaan vitu vyangu vyote haviendi madili yote yanabuma…

Huwezi amini nikikusimulia aisee,,,,
Kila nachojaribu kinagoma safari hii…Nishapitia msoto lakini huu si msoto n kimavi kabisa.
Naombeni ushauri kama naweza nikatoa hali hii.


Kama huna msaada positive pita ivi! Mi mwenyewe ninna stress! Tusameheane
Jf wadau
Njoo tuombe hayo yote yatakwisha.
Mwamini Mungu anaweza.
 
kuna dawa ukiifanya bila kuidharau ndani ya siku 7...hiyo hali itakutoka na inaanza kuleta matikeo kuanzi siku hiyo hiyo utakayo anza...

kesho panapo majaaliwa asubuhi ukienda kuoga hakikisha maji unayooga unayachanganya na mkojo wako wa asubuhi ule wa kwanza kabisa...maji yanayo hitajika ni ya room temperature ambayo hayajachemshwa mnaita yabaridi. hivyo kama upo kwenye mkoa wenye baridi kazi utakuwa nayo.

hakikisha ndoo inajaa ya rita kumi {sio uijaze mikojo mkojo ni uo kidogo utakao toka asubuhi ukiwa unakojoa utauchanganya kwenye ndoo yenye maji rita 10 Oga hadi maji yaishe...!

ila kama ukifanya mapenzi na mwanamke ule mkojo ambao umechanganyika na manii haufai.

mkojo unao takiwa ni ule ambao haujachanganyika na manii...!

fanya dawa hiyo kwa kuirudia kila ASUBUHI ndani ya siku 7. baada ya hapo ikikupendeza rudi utoe mrejesho.​
Mkuu hii ni kweli au unamzingua jamaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom