Nahisi nimekumbwa na jini mahaba

Nahisi nimekumbwa na jini mahaba

Cheki marinda vzr. Jini mahaba lazima kwanza akuingilie uani ndio akutawale vzr
Sipo kama unavofikiria na sijisikii kuingiliwa hata kidogo. Jua tu si kila shoga anajini mahaba, we uwezae kujikagua hayo marinda nadhani tayari ushajiingiza kwenye mchezo mchafu
 
Asante sana na unadhani kua hilo ndo tatizo kubwa kuliko mengine yote duniani nadhani lakini yamkini tatizo ulonalo wewe likawa ni kubwa kuliko langu ila hujui tu pengine
Ha ha ha ha ah ah

ndugu iko hivi
aliyechomwa na mwiba usimwambie asilie sababu wewe umevunjika mguu,

Kumbuka kila mtu huumia pale anapoguswa, ila wewe umeleta msiba wakujitakia ambao hauna matanga,
ulipokuwa unaenda kwa mlozi ndio ulijua tatizo lako litaisha?

niwe na tatizo kubwa niwe na dogo na pambana na hali yangu
we kaendelee kuloga tu.

nashangaa sana how you people act kwakwel, sasa si bora ukatoe damu kabisa uwin maisha kuliko kuteseka kwa michuzi na hauli nyama?
 
Habarini JF members, kifupi nikwamba nilivurugwa nikaamua kumfata mtaalam anisaidie. Mpenzi wangu alirudisha mapenz kwa kasi ya ajabu ila kumbe nilikua nimekosea njia kwasababu mwisho wa SIKU mwili wangu ulibadirika nikajawa HOFU YA AJABU, nguvu za kiume kupungua kwa kasi, ugomvi kila siku na mpenzi wangu, hamu ya kufanya mapenzi ikapungua kwa kasi kwa wanawake na kujawa sana na hamu ya kuwaingilia wanaume wenzangu au kama ni mwanamke basi nimuingilie kinyume na maumbile, kichwa kikavurugika akili ikawa kama imefungwa.

Nilihangaika huku na kule nikabaini kua nimesaidiwa na mtaalam katika namna ya kurogwa (kutupiwa jini) sasa nikakutana na sheikh mmoja siwez kumtaja akanisomea na kunipa dawa ya kupaka kiukweli nilipata nafuu sana ila nahisi bado maana kunawakati zile hali zinanijia japo so kwkasi kama mwnzo, hofu imepungua japo bado ipo kiasi.

Nachoshangaa bado ni kutokwa na jasho ambalo linatoa harufu kama ile ya mpenzi wangu ila nkiligusa nilinuse vizuri ile harufu siisikii lakini nikitulia upepo ukipita makwapani inatoka harufu ya mpenzi wangu.

Kingine ni kwamba bega langu la kushoto linakua linatembelewa na vitu ndani ya mwili sehem hiyo ya bega na nakua na hasira na butwaa visivo kawaida.
NISAIDIENI NATESEKA MIE
Maombi ndio dawa. pole
 
ni Pm Mkuu nikupe msaada
 
Zingatia tiba
 
Okoka kwa Jina la Yesu.
Huko hakuna kinachoshindikana.
 
Ni post ya siku nyingi sana lakini kwa msaada wa watu wengine pia hapa wewe ulikumbwa na Umu subyani ni jini anakaa katika mlango wa jini mahaba lakini sio jini mahaba ni jini wa kichawi hutumika na baadhi ya matabibu wenye elimu za kuungaunga kwa ajili ya kurejesha mapenzi baina ya watu wawili wenye kupotezana yaani mfano wewe umeenda kwa tabibu akakuta una shida ya kumrudisha mpenzi basi anakuwekea jini huyu ili awaunganishe nyie wawili.

Zaidi:
Katika kusema jini anakuletea ashiki za kumuendea mwanamke kinyume na maumbile hayo ni matamanio yako yaani deep desire yeye anachofanya ni kuboost your deepest desire sasa kujizuia kwako ndio utakatifu wako na wengi siku hizi mnajiachia sana hamuwezi kujizuia

Pia:
Mtabibu aliokusaidia ukaona nafuu kisha ukahisi bado kuna uwepo nahisi alikupa kombe au madawa ya kukupunguzia makali na ukaribu wa kiumbe huyo ambapo huwa kuna kupakaa na kunywa.

USHAURI:

Ikiwa bado unatatizo hili basi nenda kwa mtabibu unaemuamini siku ya jumanne au ijumaa ndio kiumbe hichi huwa kipo vulnerable na unaweza kukipangua kwa rahisi siku zingine ni lazima hapitie maarifa ya masaa kupata udhaifu wa siku hizi zaidi ya hapo utahangaika kupandisha maji mlima kwa maana umeshashiriki michezo ya kunduchi.

Rakims
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom