Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao kuja huku muwe makini.