Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,553
- 3,985
Asante mkuu naomba mawazo yako na busara katika hili nichukue maamuzi gani ?Pole
Baada ya kujifungua sina mpango naye wala wazo naye lolote na pia kwenye mizani ya kuchagua wife hanifai natokaje apo mkuu.....Kubali kijana ngojea hajifungue
Apa mkuu unamaanisha ninyoshe goti nikimbie au una maana gani?
... 'Kisheria ipoje'... !Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.
Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....
Baada ya mda nikakuta kaleta ndugu yake wa kike toka kijijini anasemaje amekuja kujifunza mjini na ame ni direct kwangu nimfundishe kazi za stationary....
Katika harakati za ujana kosa lilianza apa, nikaona kama anafaa kuwa mchumba ata wa badae nikaanzisha uhusiano naye.....
Baada ya mda kupita kama miezi miwili nikaanza kujua tabia zake halisi kama uhuni nilifuma mawasiliano ya simu na wanaume wengine, pia mtaa apa kuna tetesi kuwa anatembea na vijana nikaona hii ni red flag nikamwambia tuachane nitamuuliza una mimba akasema hakuna una ugonjwa wowote hapana nikampa ushauri mjini kuwa makini kuna magonjwa na siku akipata mimba nje ya ndoa hao vijana hatoweza kuja kuwaona.......
Baada ya kuachana nae takribani miezi mitano anakuja home kwa wazazi anadai ni mjamzito.....
Nilichoamua kusema ni kwamba tusubiri mtoto tupime DNA maana sijui kipindi chote icho alikutana na kina nani?
Baada ya apo familia yao wanataka tukaandikishe kwa balozi endapo ni wangu niwe responsibility
Changamoto nahitaji msaada wa mawazo apa.
1. Mwanamke anaweza kukaa na mimba yako kwa miezi 5 bila kukwambia ( hasa dada zangu naomba jibu)
2. Nahisi ulikuwa mtego ili nimu oe sina mawasiliano naye kwa kipindi chote hiki wala hisia naye, na wala sijawahi kupanga nimu oe je nitumie mbinu gani ya busara ambayo itanifanya niwe mbali nae....
3. Je kwa mazingira haya ungekuwa wewe ungefanyaje na kisheria ipoje kwa mbeleni maana hili swala limenichanganya....
Asante nategemea mawazo na ushauri wako.....
nyoosha goti hio mimba sio yako kijana..Apa mkuu unamaanisha ninyoshe goti nikimbie au una maana gani?
Hakuna jambo nimeficha mkuu... 'Kisheria ipoje'... !
Mkuu kwani huyo malaya ni mwanafunzi?
Unajichanganya sana ujue!
Umemtilia shaka juu ya maelezo ya ujauzito wake na ukaeleza kwamba unamsubiri akijifungua mkampime Dna ya mtoto, sasa kuna ushauri gani zaidi ya huo unaoutaka kutoka kwa wadau?
Lakini kwa maelezo ya thread yako, kuna jambo unalificha hautaki kuliweka wazi.
Nasema hivyo kwa sababu, kwa mwanaume matured hauwezi kushindwa kuelewa mkadirio wa ujauzito wa hawara yako, kisha uanze kuuliza maswali mepesi namna hii, eti sijui ufanyeje, sijui sheria inasemaje kumpa uja uzito hawara!
Hapana, kuna jambo unatuficha hapa.
Nimekupata mkuunyoosha goti hio mimba sio yako kijana..
Miezi miwili tu unalala nae bila kinga?Baada ya mda kupita kama miezi miwili nikaanza kujua tabia zake
Yaani hapo ulishamzagamua bila kinga, na unaelewa kabisa kuna magonjwa, halafu ulivyo mwehu unamuuliza eti "una ugonjwa?"..nilifuma mawasiliano ya simu na wanaume wengine, pia mtaa apa kuna tetesi kuwa anatembea na vijana nikaona hii ni red flag nikamwambia tuachane nitamuuliza una mimba akasema hakuna una ugonjwa wowote hapana
Asante kuhusu ukimwi nimepima na niko salama kabisaKipindi unamkuna hadi mtoto wa watu anakuambia imetosha.. hapo unajiona kidume kweli kweli..
Kingine kila siku tunasema humu.... unmtombj msichana/mwanamke bila kinga pasipo kujipanga kuhusu ujauzito ikitokea... pasipo kufahamu afya ya huyo msichana?
Miezi miwili tu unalala nae bila kinga?
Yaani hapo ulishamzagamua bila kinga, na unaelewa kabisa kuna magonjwa, halafu ulivyo mwehu unamuuliza eti "una ugonjwa?"..
We huelewi kwamba kama akiwa na HIV kaipata na wewe upo kundini?
Tamaa za dakika chache zinaharibu maisha yako na kuharibu mwelekeo wako...
Pambana na hali yako kijana..
Ukisoma mwanzo utaelewa nimesema nilikosea kutomchunguza mwanzoni kabisa / pia mi sio kijana wa ovyo namna hiyo...Mtu hauna malengo nae na unajua ni muhuni lakini kwanini uchukue risk ya kusex nae kavu? Maana yake umepuuzia mambo mawili....Afya yako na mimba zisizotarajiwa
Wanaume irresponsible mtaendelea kulea watoto wa kubambikiwa hadi mjue umuhimu wa condoms
Subiri DNA
nyie si ndio mnasema ndom zina_aleji au?Mtu hauna malengo nae na unajua ni muhuni lakini kwanini uchukue risk ya kusex nae kavu? Maana yake umepuuzia mambo mawili....Afya yako na mimba zisizotarajiwa
Wanaume irresponsible mtaendelea kulea watoto wa kubambikiwa hadi mjue umuhimu wa condoms
Subiri DNA
Hakuna sheria inayokulazimisha kwenda kusainishana kwa balozi, huyo siyo mkeo uliyekataa kumuwajibikia, wasikupande kichwani, kataa.Hakuna jambo nimeficha mkuu
Mkuu kuhusu swala la shule sio mwanafunzi
Kuna issue za kwenda kwa balozi kutia sign ya maelezo ndio apo changamoto nataka kujua ina effects kwangu....
Kuhusu makadilio kasema miezi mitano ambayo ni mda tulipotengana .....
Naomba muongozo wako mkuu vaa hii situations....
Allergy ya nini?nyie si ndio mnasema ndom zina_aleji au?
Nashukuru sana mkuu....Hakuna sheria inayokulazimisha kwenda kusainishana kwa balozi, huyo siyo mkeo uliyekataa kumuwajibikia, wasikupande kichwani kataa.
Wazo la kusubiri kupima Dna baada ya kujifungua ndiyo sahihi fuata hilo.
Ukiwa na msimamo huo na kama mimba si yako, utsona anajikataa mwenyewe hata kabla ya kujifungua!
Hapo tayari washakuona mlaini wanataka kukubambika na kukubebesha majukumu yasiyo ya kwako.
Hata kama mimba ingelikuwa ni ya kwako, hakuna sheria inayokubana kuwajibikia mimba ya hawara.
'Kulea mimba' huwa ni ubinadamu tuu.