Nahisi nimeanza kuwa na roho mbaya.

Nahisi nimeanza kuwa na roho mbaya.

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Posts
1,419
Reaction score
2,094
Yaani takriban mwaka sasa sijielewi nina tabia ya ajabu. yaani ikitokea kiongozi wa serikali au taasisi yoyote inayoshughulika na jamii moja kwa moja akiwa anahojiwa au anatoa mada huwa namsikiliza kwa makini na kufurahia anachokiongea ikiwa kina leta sense na kiko kitaalam.

Tatizo linakuja pale atakapojaribu kuainisha hayo maelezo au mikakati yake na sentensi za aina hii "katika utekelezaji wa ilani ya ccm ibara ya blah blah kifungu cha blahbla inayosimamia blah blah" tumeamua kufanya......" au sentensi za aina hii. "serikali/wilaya/halmashauri/manispaaa imejiandaa/ imekamilisha kufanya blah blha ikiwa ni moja ya metekelezo ya ilani ya CMM ibara ya blah blah kifungu cha blah blah......." yaani hapo napandwa na hasira za ghalfa.. GRRRRRRRRRR! ... wewe ni mtumishi wa serikali na tunajua uko hapo kwa tiketi ya CMM iwe kwa halali au kwa njia zako za ajabu ajabu.

Kuna ulazima gani wa kututajia mailani yenu FEKI ya ajabu ajabu...... mna spoil our dayz... kama unahojiwa katika swala la kiserikali au taasisi inalohusu jamii... usithubutu kuingiza neno CCM.... we will judge u kwa jinsi utakavyo respond katika kazi zako na weledi yako.....

Hebu nisaidieni hili tatizo kwani siku yangu huwa inaharibika kabisa mtu ana poletaga hiyo maneno... kama leo huyu meya wa ilala katika kipindi cha jambo tbc.... yaani siku yangu leo yote imeharibika... najihisi roho mbaya tu.
 
Neno CCM limekuwa allergen siku hizi, yaani likitamkwa tu kuna watu huwa wanapoteza hata fahamu achana na kupandwa na hasira. Hili neno linahusishwa na mauaji ya raia wasio na hatia, linahusishwa na wizi, linahusishwa na uongo, uzinzi, biashara haramu na uovu wote unaopatikana hapa duniani.
 
Yaani takriban mwaka sasa sijielewi nina tabia ya ajabu. yaani ikitokea kiongozi wa serikali au taasisi yoyote inayoshughulika na jamii moja kwa moja akiwa anahojiwa au anatoa mada huwa namsikiliza kwa makini na kufurahia anachokiongea ikiwa kina leta sense na kiko kitaalam. tatizo linakuja pale atakapojaribu kuainisha hayo maelezo au mikakati yake na sentensi za aina hii "katika utekelezaji wa ilani ya ccm ibara ya blah blah kifungu cha blahbla inayosimamia blah blah" tumeamua kufanya......" au sentensi za aina hii. "serikali/wilaya/halmashauri/manispaaa imejiandaa/ imekamilisha kufanya blah blha ikiwa ni moja ya metekelezo ya ilani ya CMM ibara ya blah blah kifungu cha blah blah......." yaani hapo napandwa na hasira za ghalfa.. GRRRRRRRRRR! ... wewe ni mtumishi wa serikali na tunajua uko hapo kwa tiketi ya CMM iwe kwa halali au kwa njia zako za ajabu ajabu. kuna ulazima gani wa kututajia mailani yenu FEKI ya ajabu ajabu...... mna spoil our dayz... kama unahojiwa katika swala la kiserikali au taasisi inalohusu jamii... usithubutu kuingiza neno CCM.... we will judge u kwa jinsi utakavyo respond katika kazi zako na weledi yako.....

hebu nisaidieni hili tatizo kwani siku yangu huwa inaharibika kabisa mtu ana poletaga hiyo maneno... kama leo huyu meya wa ilala katika kipindi cha jambo tbc.... yaani siku yangu leo yote imeharibika... najihisi roho mbaya tu.

Pole sana mkuu. Njia mojawapo ya kukupunguzia hasira acha kuangalia tbc.
 
yeah itabidi nianze mchakato wa kuchakachua vipindi vyake ili nijue kipi cha kuangalia na kipi cha kuacha
 
Neno CCM limekuwa allergen siku hizi, yaani likitamkwa tu kuna watu huwa wanapoteza hata fahamu achana na kupandwa na hasira. Hili neno linahusishwa na mauaji ya raia wasio na hatia, linahusishwa na wizi, linahusishwa na uongo, uzinzi, biashara haramu na uovu wote unaopatikana hapa duniani.

ukitaka kumshinda mgombea mwenzako katika uchaguzi vyuoni au mahala pengine popote kama vile umoja wa wapiga debe, madereva nk we mpakazie kuwa ni kada wa ccm basi umemmaliza subiri s
 
mleta thread nakuunga mkono! mimi hata nikisikia diwani,mwenyekiti,mbunge, mganga/mtabiri wa CCM kapigwa mawe au kaaga dunia huwa sishituki wala kuona ajabu lakini wakiitoa hiyo CCM ubinadamu huwa unanirudia
 
Yaani takriban mwaka sasa sijielewi nina tabia ya ajabu. yaani ikitokea kiongozi wa serikali au taasisi yoyote inayoshughulika na jamii moja kwa moja akiwa anahojiwa au anatoa mada huwa namsikiliza kwa makini na kufurahia anachokiongea ikiwa kina leta sense na kiko kitaalam. tatizo linakuja pale atakapojaribu kuainisha hayo maelezo au mikakati yake na sentensi za aina hii "katika utekelezaji wa ilani ya ccm ibara ya blah blah kifungu cha blahbla inayosimamia blah blah" tumeamua kufanya......" au sentensi za aina hii. "serikali/wilaya/halmashauri/manispaaa imejiandaa/ imekamilisha kufanya blah blha ikiwa ni moja ya metekelezo ya ilani ya CMM ibara ya blah blah kifungu cha blah blah......." yaani hapo napandwa na hasira za ghalfa.. GRRRRRRRRRR! ... wewe ni mtumishi wa serikali na tunajua uko hapo kwa tiketi ya CMM iwe kwa halali au kwa njia zako za ajabu ajabu. kuna ulazima gani wa kututajia mailani yenu FEKI ya ajabu ajabu...... mna spoil our dayz... kama unahojiwa katika swala la kiserikali au taasisi inalohusu jamii... usithubutu kuingiza neno CCM.... we will judge u kwa jinsi utakavyo respond katika kazi zako na weledi yako.....

hebu nisaidieni hili tatizo kwani siku yangu huwa inaharibika kabisa mtu ana poletaga hiyo maneno... kama leo huyu meya wa ilala katika kipindi cha jambo tbc.... yaani siku yangu leo yote imeharibika... najihisi roho mbaya tu.

Dawa hapo ni kujinyonga tu,hautasikia tena neno ccm, kwa nini upate shida yote hiyo na njia ni fupi tu.
 
Mimi naichukia CCM kama ninvyomchukia shetani.Mtu hata namheshimu kiasi gani akishaisifia CCM namdharau hapo hapo.
 
Yaani takriban mwaka sasa sijielewi nina tabia ya ajabu. yaani ikitokea kiongozi wa serikali au taasisi yoyote inayoshughulika na jamii moja kwa moja akiwa anahojiwa au anatoa mada huwa namsikiliza kwa makini na kufurahia anachokiongea ikiwa kina leta sense na kiko kitaalam. tatizo linakuja pale atakapojaribu kuainisha hayo maelezo au mikakati yake na sentensi za aina hii "katika utekelezaji wa ilani ya ccm ibara ya blah blah kifungu cha blahbla inayosimamia blah blah" tumeamua kufanya......" au sentensi za aina hii. "serikali/wilaya/halmashauri/manispaaa imejiandaa/ imekamilisha kufanya blah blha ikiwa ni moja ya metekelezo ya ilani ya CMM ibara ya blah blah kifungu cha blah blah......." yaani hapo napandwa na hasira za ghalfa.. GRRRRRRRRRR! ... wewe ni mtumishi wa serikali na tunajua uko hapo kwa tiketi ya CMM iwe kwa halali au kwa njia zako za ajabu ajabu. kuna ulazima gani wa kututajia mailani yenu FEKI ya ajabu ajabu...... mna spoil our dayz... kama unahojiwa katika swala la kiserikali au taasisi inalohusu jamii... usithubutu kuingiza neno CCM.... we will judge u kwa jinsi utakavyo respond katika kazi zako na weledi yako.....

hebu nisaidieni hili tatizo kwani siku yangu huwa inaharibika kabisa mtu ana poletaga hiyo maneno... kama leo huyu meya wa ilala katika kipindi cha jambo tbc.... yaani siku yangu leo yote imeharibika... najihisi roho mbaya tu.

Ndugu yangu sio wewe peke yako mwenye hiyo allergene ni karibu watu wengi. Juzi kuna jamaa alikuwa anasoma gazeti la uhuru kwenye daladala niliona watu walibadilika sana kwa sababu jamaa alimuuliza hivi gazeti linasema je, abiria walianza kulikejeli hilo gazeti kiasi jamaa aliona aibu. Na alishuka hatujui kama alikuwa amefika au aliamua kushuka njiani. Hiyo story iliendelea mpaka tukafika Gongo la mboto. Kwa hiyo kuna watu wakiona hata hayo magazeti ya CCM wanapatwa na kichefuchefu.

Kaza moyo konde usikate tamaa safari inakaribia mwisho wao wenyewe wataacha kuitajataja ccm yao. Serikali ingetambua kilichoko rohoni mwa watu wasingeendelea kuwadanganya umma. Na hasira walizo nazo watu wengi ni kwa ajili ya uongo wao wa kila kitu. Yaani CCM imeifanya nchi yetu imekuwa ya kitapeli, unafiki, uongo, kuzushiana, rushwa, ubinafsi, uroho wa madaraka hata wale ambao sio watendaji na midomo yao mipana ya zidumu fikra za M/kiti. nk.
 
kila mtu anahiyari ya kupenda ama kuchukia chama anachotaka..!!
kama RiCCM RinakukeRa achana naRo...!! kwani Renyewe RitaendeRea kupeta hata kama utakuFa Reo..!! na piRipiRi usiyoiRa inakuwashia nini...????
kama unaona vyombo vya habari vinavyotoa viongozi hao wanaoitaja CCM basi acha kuvisikiliza ama kuvisoma...!!!

sasa chuki zako binafsi unatuletea sisi kwenye jamvi ili iwejE...???

CCM itaendelea kung'ara:dance:hata ukiichukia...!!!
 
kila mtu anahiyari ya kupenda ama kuchukia chama anachotaka..!!
Kama riccm rinakukera achana naro...!! Kwani renyewe ritaenderea kupeta hata kama utakufa reo..!! Na piripiri usiyoira inakuwashia nini...????
Kama unaona vyombo vya habari vinavyotoa viongozi hao wanaoitaja ccm basi acha kuvisikiliza ama kuvisoma...!!!

Sasa chuki zako binafsi unatuletea sisi kwenye jamvi ili iweje...???

ccm itaendelea kung'ara:dance:hata ukiichukia...!!!

hatuhitaji mambo ya kishoga hapa peleka chimwaga
 
mi nakasirika unapoingia ofisi ya serikali ya mtaa kumekaa ki-ccm ccm!kwani ofc inakuwa na chama?kwa sababu naenda kikazi huwa isachi kuuliza na sie wa cuf tutapata huduma?
 
Neno CCM limekuwa allergen siku hizi, yaani likitamkwa tu kuna watu huwa wanapoteza hata fahamu achana na kupandwa na hasira. Hili neno linahusishwa na mauaji ya raia wasio na hatia, linahusishwa na wizi, linahusishwa na uongo, uzinzi, biashara haramu na uovu wote unaopatikana hapa duniani.

dah! Mi nikisikia hilo neno naharisha na kutapika kwa pamoja.
Hivi allergy ina dawa?
 
ni aibu kwa nchi kama yetu kuendelea kutawaliwa na ccm kwa mabavu. ukweli unajulikana na nyoto zetu sote ziko majonzini tukijua kuwa utashi na chaguo la wengi halikusikilizwa kwa nguzu za dola na udhaifu wa kimfumo. hulka hizi mioyoni mwetu zitatusaidia sana pale sauti itakaposikika ya kuwataka watz watoe majonzi yao hadharani na kuonesha ukweli wao juu ya mfumo wa utawala wa nchi yao....aluta continua!
 
Duuh kumbe tupo wengi!

Mie sitaki kabisa kusikia neno mchakato umeanza, umekishwa au umemalizika au mpangokazi tayari tunasubiri fedha.yani ukimtazama kiongozi wa juu mpaka wa mwisho toka anapoanza kuongea mpaka mwisho uongo mtupu. sijui lini yatajifunza kusema kweli haya madude.
 
mi nakasirika unapoingia ofisi ya serikali ya mtaa kumekaa ki-ccm ccm!kwani ofc inakuwa na chama?kwa sababu naenda kikazi huwa isachi kuuliza na sie wa cuf tutapata huduma?

Ni kama vile rais, makamu wa rais au kiongozi mwingine yeyote anafanya ziara ya KISERIKALI sehemu na unajuwa fika ni kodi zetu wote (TLP,CHADEMA, TADEA, cuf, ccm na wengine) ndio zimegharamia safari lakini unashangaa amevaa sare ya ccm (rangi ya kijani nayo ninaichukia siku hizi kwa sababu ya ccm) yaani hapo hapo unazima katv kako.
 
dah! Mi nikisikia hilo neno naharisha na kutapika kwa pamoja.
Hivi allergy ina dawa?

hakuna dawa ya alaji... aaah samahani ni aleji tatizo haya maneno yana udugu wa mbali.... we inabidi ufunge sana kwa maombi kwa hiyo aleji mi nimeshaanza nimuombe mungu hii laeji itutoke kwa kutuondolea hawa wanyang'anyi wanaotunyenga kila kukicha.. pole mpwa
 
kwakweli na mm hii aleji inanisumbua sana nataka nitafute dr bingwa wa magonjwa ya mzio anipe dawa mana kila nikickia neno ccm au ilani ya ccm au mavazi ya kjani yani mi hoi jamni lazima tupate dawa ikibidi wote wenye aleji hii nchi nzima tukutane tufanye maamuzi magumu kujivua hili gamba la aleji hii
 
Poleni sana ndugu zangu. Mimi aleji ya nguo za kijani na ilani ya ccm ilikuwa inanitapisha sana hadi nikaamua kuikimbia nchi. Huku niliko naona kanzu nyeupe na baibui nyeusi tu!!
 
Back
Top Bottom