Nahisi nimeanza kuwa na roho mbaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi nimeanza kuwa na roho mbaya.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fredwash, May 26, 2011.

 1. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Yaani takriban mwaka sasa sijielewi nina tabia ya ajabu. yaani ikitokea kiongozi wa serikali au taasisi yoyote inayoshughulika na jamii moja kwa moja akiwa anahojiwa au anatoa mada huwa namsikiliza kwa makini na kufurahia anachokiongea ikiwa kina leta sense na kiko kitaalam.

  Tatizo linakuja pale atakapojaribu kuainisha hayo maelezo au mikakati yake na sentensi za aina hii "katika utekelezaji wa ilani ya ccm ibara ya blah blah kifungu cha blahbla inayosimamia blah blah" tumeamua kufanya......" au sentensi za aina hii. "serikali/wilaya/halmashauri/manispaaa imejiandaa/ imekamilisha kufanya blah blha ikiwa ni moja ya metekelezo ya ilani ya CMM ibara ya blah blah kifungu cha blah blah......." yaani hapo napandwa na hasira za ghalfa.. GRRRRRRRRRR! ... wewe ni mtumishi wa serikali na tunajua uko hapo kwa tiketi ya CMM iwe kwa halali au kwa njia zako za ajabu ajabu.

  Kuna ulazima gani wa kututajia mailani yenu FEKI ya ajabu ajabu...... mna spoil our dayz... kama unahojiwa katika swala la kiserikali au taasisi inalohusu jamii... usithubutu kuingiza neno CCM.... we will judge u kwa jinsi utakavyo respond katika kazi zako na weledi yako.....

  Hebu nisaidieni hili tatizo kwani siku yangu huwa inaharibika kabisa mtu ana poletaga hiyo maneno... kama leo huyu meya wa ilala katika kipindi cha jambo tbc.... yaani siku yangu leo yote imeharibika... najihisi roho mbaya tu.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Neno CCM limekuwa allergen siku hizi, yaani likitamkwa tu kuna watu huwa wanapoteza hata fahamu achana na kupandwa na hasira. Hili neno linahusishwa na mauaji ya raia wasio na hatia, linahusishwa na wizi, linahusishwa na uongo, uzinzi, biashara haramu na uovu wote unaopatikana hapa duniani.
   
 3. The sage

  The sage Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Pole sana mkuu. Njia mojawapo ya kukupunguzia hasira acha kuangalia tbc.
   
 4. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  yeah itabidi nianze mchakato wa kuchakachua vipindi vyake ili nijue kipi cha kuangalia na kipi cha kuacha
   
 5. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ukitaka kumshinda mgombea mwenzako katika uchaguzi vyuoni au mahala pengine popote kama vile umoja wa wapiga debe, madereva nk we mpakazie kuwa ni kada wa ccm basi umemmaliza subiri s
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mleta thread nakuunga mkono! mimi hata nikisikia diwani,mwenyekiti,mbunge, mganga/mtabiri wa CCM kapigwa mawe au kaaga dunia huwa sishituki wala kuona ajabu lakini wakiitoa hiyo CCM ubinadamu huwa unanirudia
   
 7. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa hapo ni kujinyonga tu,hautasikia tena neno ccm, kwa nini upate shida yote hiyo na njia ni fupi tu.
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Mimi naichukia CCM kama ninvyomchukia shetani.Mtu hata namheshimu kiasi gani akishaisifia CCM namdharau hapo hapo.
   
 9. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Ndugu yangu sio wewe peke yako mwenye hiyo allergene ni karibu watu wengi. Juzi kuna jamaa alikuwa anasoma gazeti la uhuru kwenye daladala niliona watu walibadilika sana kwa sababu jamaa alimuuliza hivi gazeti linasema je, abiria walianza kulikejeli hilo gazeti kiasi jamaa aliona aibu. Na alishuka hatujui kama alikuwa amefika au aliamua kushuka njiani. Hiyo story iliendelea mpaka tukafika Gongo la mboto. Kwa hiyo kuna watu wakiona hata hayo magazeti ya CCM wanapatwa na kichefuchefu.

  Kaza moyo konde usikate tamaa safari inakaribia mwisho wao wenyewe wataacha kuitajataja ccm yao. Serikali ingetambua kilichoko rohoni mwa watu wasingeendelea kuwadanganya umma. Na hasira walizo nazo watu wengi ni kwa ajili ya uongo wao wa kila kitu. Yaani CCM imeifanya nchi yetu imekuwa ya kitapeli, unafiki, uongo, kuzushiana, rushwa, ubinafsi, uroho wa madaraka hata wale ambao sio watendaji na midomo yao mipana ya zidumu fikra za M/kiti. nk.
   
 10. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kila mtu anahiyari ya kupenda ama kuchukia chama anachotaka..!!
  kama RiCCM RinakukeRa achana naRo...!! kwani Renyewe RitaendeRea kupeta hata kama utakuFa Reo..!! na piRipiRi usiyoiRa inakuwashia nini...????
  kama unaona vyombo vya habari vinavyotoa viongozi hao wanaoitaja CCM basi acha kuvisikiliza ama kuvisoma...!!!

  sasa chuki zako binafsi unatuletea sisi kwenye jamvi ili iwejE...???

  CCM itaendelea kung'ara:dance:hata ukiichukia...!!!
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  hatuhitaji mambo ya kishoga hapa peleka chimwaga
   
 12. c

  chetuntu R I P

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmhhh hakika umechoka magamba!!
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  mi nakasirika unapoingia ofisi ya serikali ya mtaa kumekaa ki-ccm ccm!kwani ofc inakuwa na chama?kwa sababu naenda kikazi huwa isachi kuuliza na sie wa cuf tutapata huduma?
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  dah! Mi nikisikia hilo neno naharisha na kutapika kwa pamoja.
  Hivi allergy ina dawa?
   
 15. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni aibu kwa nchi kama yetu kuendelea kutawaliwa na ccm kwa mabavu. ukweli unajulikana na nyoto zetu sote ziko majonzini tukijua kuwa utashi na chaguo la wengi halikusikilizwa kwa nguzu za dola na udhaifu wa kimfumo. hulka hizi mioyoni mwetu zitatusaidia sana pale sauti itakaposikika ya kuwataka watz watoe majonzi yao hadharani na kuonesha ukweli wao juu ya mfumo wa utawala wa nchi yao....aluta continua!
   
 16. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duuh kumbe tupo wengi!

  Mie sitaki kabisa kusikia neno mchakato umeanza, umekishwa au umemalizika au mpangokazi tayari tunasubiri fedha.yani ukimtazama kiongozi wa juu mpaka wa mwisho toka anapoanza kuongea mpaka mwisho uongo mtupu. sijui lini yatajifunza kusema kweli haya madude.
   
 17. B

  Bobby JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Ni kama vile rais, makamu wa rais au kiongozi mwingine yeyote anafanya ziara ya KISERIKALI sehemu na unajuwa fika ni kodi zetu wote (TLP,CHADEMA, TADEA, cuf, ccm na wengine) ndio zimegharamia safari lakini unashangaa amevaa sare ya ccm (rangi ya kijani nayo ninaichukia siku hizi kwa sababu ya ccm) yaani hapo hapo unazima katv kako.
   
 18. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60

  hakuna dawa ya alaji... aaah samahani ni aleji tatizo haya maneno yana udugu wa mbali.... we inabidi ufunge sana kwa maombi kwa hiyo aleji mi nimeshaanza nimuombe mungu hii laeji itutoke kwa kutuondolea hawa wanyang'anyi wanaotunyenga kila kukicha.. pole mpwa
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwakweli na mm hii aleji inanisumbua sana nataka nitafute dr bingwa wa magonjwa ya mzio anipe dawa mana kila nikickia neno ccm au ilani ya ccm au mavazi ya kjani yani mi hoi jamni lazima tupate dawa ikibidi wote wenye aleji hii nchi nzima tukutane tufanye maamuzi magumu kujivua hili gamba la aleji hii
   
 20. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Poleni sana ndugu zangu. Mimi aleji ya nguo za kijani na ilani ya ccm ilikuwa inanitapisha sana hadi nikaamua kuikimbia nchi. Huku niliko naona kanzu nyeupe na baibui nyeusi tu!!
   
Loading...