Nahisi nimeambukizwa kifua kinawaka moto

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
263
204
Madaktari mnaopatikana hapa mnisaidie,mwaka huu nilipata mpenzi ambaye tupo naye kwenye mahusiano,lakini mpenzi wangu alikuwa na matatizo ya kifua anapohema hutoa milio au kama mtu anayepiga miruzii na ameenda hospitali mbalimbali tatizo hili.

Hawajalipatia ufumbuz,ninapoandika ujumbe huu huu huyu mpenzi wangu yupo masomoni kenya,baada ya yeye kuondoka kwenda masomoni nimeanza kupata maumivu ya kifua mfano wa moto kuwaka ,tafadhali naomba kujua anaweza kuw ameniambukiza lile tatizo lake na je nifanyeje kwa sasa?
 
Maelezo yako yanaonyesha mwenzako ana tatizo la ugonjwa wa pumu, ugonjwa huo ni wa kurithi siwa kuambukiza kama kifua kikuu au magonjwa ya zinaa, swali ni: Je, yeye alikwambia ana tatizo kupumua kutokana na ugonjwa gani?

Kama alikaa kimya bila ya kukwambia undani wa tatizo lake, basi labda kuna kitu anakuficha.
 
Madaktari mnaopatikana hapa mnisaidie,mwaka huu nilipata mpenzi ambaye tupo naye kwenye mahusiano,lakini mpenzi wangu alikuwa na matatizo ya kifua anapohema hutoa milio au kama mtu anayepiga miruzii na ameenda hospitali mbalimbali tatizo hili.

Hawajalipatia ufumbuz,ninapoandika ujumbe huu huu huyu mpenzi wangu yupo masomoni kenya,baada ya yeye kuondoka kwenda masomoni nimeanza kupata maumivu ya kifua mfano wa moto kuwaka ,tafadhali naomba kujua anaweza kuw ameniambukiza lile tatizo lake na je nifanyeje kwa sasa?
Kwa maelezo yako huyo mwenza wako atakuwa na tatizo la pumu, halafu wewe tatizo lako litakuwa acidity/ulcers pm kwa maelezo zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom