Nahisi nilimegewa

arrghggggggggggg kwani mtoto alisema anataka kumuona baba yake? yani haikuwa na ulazima wowote wa kumpelekea mtoto... halafu kama hakuweza basi na asiweze mie siwezi kumpelekea mtoto wangu mtu asiyekuwa na time naye!!!
 
Sasa Brasil umeamuaje, unaye au mmeshaachana? Tupe way forward

Man...listen. I moved on a long time ago. I had to protect mines, you know. Why stick around for that kind of bs? It's not like I can't get with other beautiful women? I have never had a woman problem before. Like Jigga said, I got 99 problems but a broad ain't one.
 

Sasa unaamuaje unampiga chini au unamkanya?
 
arrghggggggggggg kwani mtoto alisema anataka kumuona baba yake? yani haikuwa na ulazima wowote wa kumpelekea mtoto... halafu kama hakuweza basi na asiweze mie siwezi kumpelekea mtoto wangu mtu asiyekuwa na time naye!!!

Hapa nadhani ni uamuzi wa mzazi binafsi. Pengine wewe ungeamua kufanya tofauti ila yeye aliamua kufanya hivyo.
 
Sasa unaamuaje unampiga chini au unamkanya?

Hahahahaa..komredi, kule Msumbiji tulikuwa tunasema a luta continua....

Alipigwa chini hata kabla hajarudi. Kwanza alipigwa chini siku ile alipopanda ndege kwenda T-Dot
 

Kweli mkuu,

Labda na mimi nikupe pole kuonesha sympathy kwa yaliyokukuta (ama kwa kujitakia au kutokuwa sober wakati wa kufanya maamuzi). Ni vizuri kuwa mtu mwema kwa watu lakini bado sielewi wewe unawezaje kuwa na wema kwa wengine kiasi cha kuweka maslahi yako rehani? Yaani nani alitakiwa kuwa na uchungu kwa mtoto zaidi, baba yake mzazi (ambaye alishindwa kuja kumwona kwa miaka 2) au wewe uliyekuwa unamlea tu kwa sababu ya kumfaidi mama yake? Samahani, ni hiyo sympathy inayonifanya niwe na maswali mengi. Kwani kama huyo jamaa hakujikumbushia basi labda uambiwe kuwa alikuwa na malaria iliyopanda kichwani, akapata degedege na kulazwa ICU kwa week 2 ambazo mkeo na mtoto walikwenda kumsalimia! Vinginevyo uamuzi wako wa kutema mzigo ni mzuri.

Ila kuna mawazo mengine ya ukichaa yananijia kuwa, labda ulitafuta upenyo wa kujinasua. Hili unalionaje?
 
mkuu pole sana. hata mimi hapo nisingekubali.

** huyo jamaa amekumegea. waswahili wanasema m.mke ukilamba mara moja unaweza kujichatulia tena hata kama akiwa ameolewa na jamaa mwingine. sembuse huyo alizaa nae!! pole mkuu. that's life!!!
 
Duh umeotea ile kishenzi!! Ilikuwa Disemba

Kiongozi usipoteze muda wako. Tafuta kifaa kingine uweke ndani. Huyo jamaa ataendelea kukumegea wakati wowote anaotaka. Ukishapata kifaa kingine huyo mchumba (Sasa atakuwa hawara wako):dance: mtakuwa mnamshea na huyo jamaa wa Toronto (Usisahau ile principle:mahawara hawaachani)
 

Mkuu wewe ni kichwa! Hapo nimekukubali. Kwani hapo itabidi naye ampe 2 weeks kuja kusalimia au vipi!

Kama kampuni yangu isingekuwa changa ningetangaza bingo la kukunasa. Thanking ability 100! siyo kama bongo za vilaza wa tuliowazoea. Ila angalia isijekutumia kwenye destructive angle!
 
i hate to mention it but there is no way they didnt do it. just swallow your pride and forget coz you have no evidence.
BTW, It was so stupid on your part to have allowed her to go. The father should have come to see his kid and not her to go. Pole lakini.
 

Ungekuwa mwalimu wake wa UPE hapo alikuwa ameumia. Ataachiaje mali nyeti kama hiyo kwa kauli??
 


The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:
Chrispin (Today)
 
eh bwana asumme ehh apo tayari ayo mambo kakuambia nani?kwamba yanawezekana kiraisi namna iyo
lazima kaguswa labda uyo jamaa anaumwa au uyo demu wako vinginevyo TAYARIIIIIII
 
Unajua mambo ya aina hii ndo yanapelekea wanawake waliozaa bila ndoa wanashindwa kupata wanaume wa kuwaoa hata kama ni innocent, tatizo inakuwepo hii bond kati yao na ma ex wao kuhusu mtoto, sijui ila nadhani ni vizuri wanawake tuwe na roho ngumu, hivi inakuwaje mtu kakuacha wakati unamhitaji sana, wakati wa ujauzito, which means kakikataa hata hicho kiumbe halafu anatokea two years later anajidai anataka kumwona mtoto na mama bila kufikiri unapanda ndege kumpelekea lol! kina mama roho zetu nzuri hizi zinatucost sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…