Nahisi nilimegewa

Mi naona ulipenda wewe mwenyewe kumegewa utampaje ruhusa ya kwenda. Nahisi huyo demu alikuwa nakuhudumia so sauti huna.
 
Sema tu haina mileage hiyo ungepima mwenyewe. Ila kiufupi alimegwa.
 
Aisee ulimegewa, kereuuuuuuwi ulimegewa bwashe, wiki mbili! Bora ingekuwa siku mbili, ungezuga kuwa alikuwa kwenye siku zake. Wiki mbili! Hata kama alikuwa kwenye siku zake kamaliza. Dah vitu vibaya kabisa ni 1.kuibiwa hela na 2.kumegewa. Kulikuwa hakuna sababu ya yeye kwenda huko. Watu walishamegana mpaka mimba, eti wakutane wajifanye wamesahau, hakuna kitu kama hicho
 
Tafuta DEMU wa kupozea tu ! hii itakupunguzia mawazo mawazo ingawa ukweli unabaki palepale "" Huko TORONTO aligegedwa !
 
p...... hainaga makombo mkuu, so usiwaze. no puns intended
 
umeipenda mwenyewe,umeitaka mwenyewe,utaisoma namba weeee,
hebu tujuze toka mwaka 2010 mtoto ana miaka 7 sasa baba hajarudi na kurudiana na mama.sababu hayuko nawe.
 
Nakushauri uachane kabisa na hayo mawazo. Yatazidi kukupa mawazo mabaya. Kuna wanawake imara kaka, huwezi kummega hata kama mtalala room moja. Mkeo anaweza kuwa ktk aina hiyo. Fikiria positive juu ya mwenzio.
 
dah bora umemuacha mkuu maana kwa vyovyote vile alimegwa tu
 
Wanaume wanaoliwa halafu wanahadithia hao kwetu huitwa mabaradhuli. Hizo ndiyo raha zao, Hujifanya hawataki kumbe wanapenda wake/wanawake zao wakamegwe halafu wanajidai kuwatia mkwara ili wahadithiwe kilichojiri, ndiyo raha zao.

Wanawake wasiofundws wakafundika hayo hawayajui. Laiti huyo mwanamke wako angekuwa kafundwa akafundika angeelewa weakness yako na ungekuwa mtumwa wake daima. Nyie ndiyo hufikia mpaka kuingiza wanaume wenzenu ndani ili muone wenza wenu wanavyoshughulikiwa.

Kwa uzi wako huu na unavyochangia, ni wazi kabisa wewe ni katika wale wanaume ambao kwetu huitwa mabaradhuli au bwege.

Huko ulipo huitwa cuckold.

Kwa raha zako. Hata ujikaze vipi hivyo ndivyo ulivyo.
 
uliyataka mwenyw! unawezaje kumpeleka demu wako kwa hiyo njemba? kwani nn usingemuambia aje amchukue mwenyewe huyo mtoto? inavoonekana ww huyo mwanamke anakupelekesha na kukuongoza badala ya kuwa ww kiongozi wa familia....... halafu mukiitwa wanaume suruali mukasirike
 
Kwanza kwa maelezo haya hakuna uhakika kama alimegwa au laa,ila jambo la muhimu kwako ni kujenga uaminifu na huyo mtu wako kwani kumegwa wanawake wanamegwa sana,jaribu kufikiri haya,hivi wewe unapogegeda wanawake wa wenzio,hao huwa wsna roho ipi na mkeo yeye anayo roho ipi mpaka asigegedwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…