Kaka kwa kuoa mwanamke ambaye kazalishwa na MTU mwingine na huyo MTU yupo alive! Nna uhakika hutaishi kwa amani na mkeo. Huyo jamaa lazima atawasumbua sana. Halafu mwanamke kazaa na huyo jamaa, kalipiwa nauli mpaka Canada, unadhani huyo mwanamke atakuwa na guts za kumnyima jamaa? Kosea kujenga msingi na si kuoa kamanda