Nahisi niko na pepo la ngono

Nahisi niko na pepo la ngono

Lete kisa chako mkuu ili na mimi niweze kujiua ni tatizo au ni kawaida
mi sina kisa ila kwa sasa nimeacha kupanda daladala baada ya kugundua hali kama hiyo inanitesa na madem wa kwenye daladala wana makusudi
 
Na siku hizi walivyo wengi na rahisi kupatikana, tegemea kupata wateja wa kutosha.
 
so kosa lako kijana ulitokea bahat mbaya salama ilipasuka ndo mana uko ivo
 
Shamba tunalima vile tutakavyo sasa wewe ukisema unatatizo la ngono kumbuka kuna masela wanataka hilo tatizo lako na hawalipati
 
Mie mambo ya kushauri mtu kwenye pepo la ngono namshauri nini wakati hilo pepo mwenyewe linanipelekesha. Hapo ni kulikumbatia hilo pepo tuu
Amnyandue huyo pepo labda litaondoka, ukute pepo lenyewe Lina ny*ge
 
Mie mambo ya kushauri mtu kwenye pepo la ngono namshauri nini wakati hilo pepo mwenyewe linanipelekesha. Hapo ni kulikumbatia hilo pepo tuu
😂😂😂 uko poa lakin?
 
Tafuta pesa kupendapenda vinaendana mubashara na njururu [emoji3]
 
Kama unapenda ngono kiasi hicho nakushauri Uoe.

Dunia ya sasa ina maradhi ya kila aina, usipochukua tahadhari utakuwa masikini kwa kuhonga Wanawake lakini pia kutumia gharama kubwa kujiuguza
 
Lipia tangazo la pepo lako la ngono
-mxvm5q.jpg
 
Back
Top Bottom