Nahisi niko matatani

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,620
Nimetembea na mke wa mtu na alikuwa mpenzi wangu tangu tulipokua wadogo. Tulitengana kwa sababu za kijiografia tu. tumekutana kwa sababu za kazi wakati yeye kaolewa nami nikiwa na mke tayari. Tulijikuta tunakumbushia enzi na kwabahati mbaya tumebambwa live na mr.(mme wa mpenzi wangu) tumewekwa kiti moto nami nikabebembeleza na jamaa aliniachia kimya kimya na akaondoka na mkewe. Sina uhakika na kilichoendelea kule kwao na mimi niliondoka kabisa mkoa huo lakini siamini kabisa kama jamaa anaweza kukaa kimya. Naishi kwa kuogopa kivuli changu nmaana jamaa anasafiri sana na hela anayo. Naogopa kwenda kumwomba jamaa msamaha vilevile sina feedack toka kwa huyo mama kujua ni nini kinaendelea...
Naomba msaada wa mawazo ili niishi vizuri
 
Ili uishi vizuri usingeoa wala usingetembea na mke wa mtu.

Kila la kheri maana siku hizi watu wanauwawa kweli kwa mambo kama hayo. Yakikukuta nakupa pole in advance.
 
Kiranga komo. Hutaweza kuishi tena kwa amani kwa uliyoyafanya, si wewe si huyo mwanamke si huyo mumewe.

Kamhadithie mkeo.
 
Ulitembea na mke wa mtu mwenyewe akakubamba LIVE then yeye akaondoka na mke wake!! very fun whats is the meaning of kubambwa LIVE? mlikuwa naked mna do then akakuacha uvae nguo zako uondoke na yeye amchukuwe mke wake?
kama sivyo kuna shida gani ukikutwa na mke wa mtu sehemu mnazungumza huku mnapata soda?
 
Mbona haya mambo ni ya kawaida tu Rushanju (bakora?),we relax lakini wakati huo huo huyo jamaa mwekee ma spy(tumia hela kidogo) ujue anaongea nini na nani na anapanga nini? Huyo mdada pia ongea naye ujue njemba ili react vipi nyumbani,weza kuta jamaa zuzu tu na jogoo halipandi ndo mana mkewe anamegwa.Don't panic,ukipata chance we piga tena,the higher the risk the higher the mhemuko!
kama unahitaji tuition zaidi juu ya tactics za kufanya cheating nitafute.
 
bishanga ur not serious
 
Sifa za kijinga, na sio kijinga cha moto.
 
Kama huna amani jitie kamba.
Huwezi kuwa mwanajeshi ukawa mwoga wa vita.
Unaniharibia fani.
 
Huyo mmewe anakupangia siku ya kukukameruni shauri yako!!! "just a joke"
 
Hizi stori zimekuwa nyingi sana humu, tungeni stori zenye mvuto bwana.
 
Ili uishi vizuri usingeoa wala usingetembea na mke wa mtu.

Kila la kheri maana siku hizi watu wanauwawa kweli kwa mambo kama hayo. Yakikukuta nakupa pole in advance.

tehe tehe tehe tehe wewe mbona unamtisha mwenzio sasa?
 
kama umekula vya watu,subiri na wewe vyako kuliwa..andaa kiboga hicho watu waje wajilie.
 
Kama huna amani jitie kamba.
Huwezi kuwa mwanajeshi ukawa mwoga wa vita.
Unaniharibia fani.

Makubwaaaaaa, mwenzio alikuwa anakumbushia tu kidogo aone kama kina ubora ule ule wa zamani,hakuwa kwenye vita...

Ushauri wangu, jisalimishe kwa Mungu tu,atakupa amani ukiwa hai au siku lolote likikukuta utakuwa unaelekea kwake....!
 
Nimetembea na mke wa mtu na alikuwa mpenzi wangu tangu tulipokua wadogo. Tulitengana kwa sababu za kijiografia tu. tumekutana kwa sababu za kazi wakati yeye kaolewa nami nikiwa na mke tayari. Tulijikuta tunakumbushia enzi na kwabahati mbaya tumebambwa live na mr.(mme wa mpenzi wangu) tumewekwa kiti moto nami nikabebembeleza na jamaa aliniachia kimya kimya na akaondoka na mkewe. Sina uhakika na kilichoendelea kule kwao na mimi niliondoka kabisa mkoa huo lakini siamini kabisa kama jamaa anaweza kukaa kimya. Naishi kwa kuogopa kivuli changu nmaana jamaa anasafiri sana na hela anayo. Naogopa kwenda kumwomba jamaa msamaha vilevile sina feedack toka kwa huyo mama kujua ni nini kinaendelea...
Naomba msaada wa mawazo ili niishi vizuri

Usiwe na wasiwasi Mr alijuwa kuwa wewe upo siku ile ya mwanzo aliyokutana nae kimwili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom