Nahisi niko matatani

Anza mazoezi ya kuliwa tigo mapema,ili siku akija kukula tigo uwe umeshazoea.
 
Pole kak, kuwa na amani yawezekana hata jamaa nae mwizi tu yaan nae anakatabia kama hako kakumega wake za wa2. Omba mungu akuepushe.
 
Bishanga, siku hizi umepata usajili infidelity club? Njoo tupingulue urafiki aisee!
 
Bishanga,... mie sina tena uwezo wa kumtafuta huyo mama maana naogopa kuwa simu yake na yangu pia kuwa iko well monitored. Jamaa anauwezo mkubwa wa kutafiti. Siwezi kabisa kukutafuta unipe tuition maana hata wewe sikuamini unaweza kuwa unatumiwa. Kwa hilo simwamini yyte mkuu
 
Mbona haya mambo ni ya kawaida tu Rushanju (bakora?),we relax lakini wakati huo huo huyo jamaa mwekee ma spy(tumia hela kidogo) ujue anaongea nini na nani na anapanga nini? Huyo mdada pia ongea naye ujue njemba ili react vipi nyumbani,weza kuta jamaa zuzu tu na jogoo halipandi ndo mana mkewe anamegwa.Don't panic,ukipata chance we piga tena,the higher the risk the higher the mhemuko!
kama unahitaji tuition zaidi juu ya tactics za kufanya cheating nitafute.

Khaaaa!
 
Bishanga, siku hizi umepata usajili infidelity club? Njoo tupingulue urafiki aisee!

in order to keep peace na King'asti najitoa kwenye rasmi uanachama wa infii club,namwacha Fidel huko atajiju wakim chop off nonino!!!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti!mrudie mungu wako na utubu kwa mkeo na kwa mungu wako,ukae ukisubiri hukumu ya uliemlia chake!ila kuishi kwa aman sahau,hiyo dhambi itakutafuna cku zote za maisha yako.
 
ukitembea na mke wa mtu unwakosea wafuato:
1. Mume wake
2. watoto wake
3 Mke wako (kama unae)
4 watoto wako (kama unao)
5. jamii ya wapenda haki
6. MUNGU WAKO.
Avoid kabisa kutembea na mke wa mtu hata kama alikuwa ni mpenzi wako. Akisha olewa sio wako tena. Achana kabisa na kina Bishanga
 
Bishanga,... mie sina tena uwezo wa kumtafuta huyo mama maana naogopa kuwa simu yake na yangu pia kuwa iko well monitored. Jamaa anauwezo mkubwa wa kutafiti. Siwezi kabisa kukutafuta unipe tuition maana hata wewe sikuamini unaweza kuwa unatumiwa. Kwa hilo simwamini yyte mkuu
sasa kaka muoga iv afu unapenda wake za wa2 jaman.
izo tabia za wa2 fulan fulan we umedandia gari kwa mbele........ ona ss mmh huna punje ya aman. we jiandae 2 kwa lolote ss.
mwisho uache io tabia, ili ukinusurika iwe fundisho kwako.
 
Sasa hapo kaka kama unakaa nyumba ya kupanga hama hamia sehemu nyingine.

Naomba uzungumze na binti nini kilichojiri huko nyuma, unaweza kukuta jamaa msomi amegundua wazi kwamba wewe huna makosa ame deal na wife wake...
 
Ili uishi vizuri usingeoa wala usingetembea na mke wa mtu.

Kila la kheri maana siku hizi watu wanauwawa kweli kwa mambo kama hayo. Yakikukuta nakupa pole in advance.
nadhani ushauri huu is the best one...very gud lizy
 
Kapime HIV, bila kumuomba msamaha subiri malipo yako, je wewe huyo mkeo ungemkuta wanamega mkate wa uzima na rafiki yake wa zamani ungejisikiaje?,acha tabia mbaya hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom