umesahau chap chap sana..........
aisee hii ni mitambo ya nyuklia mdingi atarest in peace kabla ya muda! Khaaa hapana tuachane nao
ahahaaa wacha hizo sio wewe!
ahahaaa kidogo ungemfanania ...ila dah acha tu ...dunia haipo fair!
Ndo tatizo la mapozi......
mmmh hebu sema na wewe sema ulivaaje?
amen kaka! ubarikiwe sanaKama ndoto vile, lakini hayo mambo hutokea. Jaribu kadri unavyoweza ili umsahau maana ni long time huenda alishaanza maisha yake. Na hii ya wewe kumuwaza huyu ndg inaonesha hujapata ama kupatwa na mnaeendana naye, maana ingekuwa rahisi kwa wewe kusahau yaliyopita, kama itakuwa hivyo pole lakini usikate tamaa Mungu yu pamoja nawe daima, zidisha maombi dada Smile