Nahisi nampenda mtu ambae hayupo!

Nahisi nampenda mtu ambae hayupo!

Ila besti pole sana...najaribu ku-imagine mtoto wa kike namna moyo wako unavyopwita...

Maybe he was your Romeo...

Or may be he is dead. Ungekuta labda saa hizi smile ni mjane mwenye watoto wanne
 
ujue enzi hizo nilikuwa na aibu sana . Alivoniambia jina lake sikusikia vizuri so am not sure if its chada or chacha yaani sielewi! Nilishawai kucheki ila nikimuona naweza kumkumbuka ..alikuwa tall black mzuri kweli kweli !

Hahaaa ni mimi ebu nipm sijazeeka!!!!
 
ilikuwa siku kama ya leo nilikuwa natokea kampala... sasa kuna mkaka mmoja alikuwa anakuja dar ila basi likawa limejaa full..akaomba hata asimame alikuwa na dharura basi kwenye basi wakawa wamemkubalia.
basi yule mkaka akaja akasimama karibu na mimi .. tumeeenda wee nikaamua kumpisha nisimame apumzike kidogo ....
basi tukafanya hivo hadi nilipofika moshi kesho yake mida ya saa tano hivi nikashuka nikamuachia siti!
mimi sikuwa na simu kipindi hicho ila yeye alikuwa nayo ila nikampa no ya sister! sikuchukua no yake!
kuna siku sister aliniambia kuna mtu anamsumbua sijui anaitwa chada anakutafuta nikamwambia anipe no akasema ameidelete !
ni miaka kumi imepita i wish ningekutana na yule kaka! still image yake ipo kichwani mwangu ...maybe angekuwepo nisingekuwa hivi!
SIJUI HUWA ANANIKUMBUKA

story imekaa kama ya kuedit,....noma xana
 
Back
Top Bottom