baba huyo wa mbeya mpe bye bye tuu... hapa tuna deal na locationships so kamatia iliye kuwa karibu nawe
hahaha kweli out of site is out of mind kama ni hivyo tungekua 2naoana na majirani ze2 kupitia locationshp

Sasa sikiliza dogo! Inaelekea wewe huyo x wako alikuwa mjumvi wa mambo hivo ukiyakumbuka ndo unadata!!!! Cha msingi wewe jikumbushe yale mabaya aliyokutendea mpaka mkaachana, ukiona haisaidiii we chapa ilale tu! Ila uwe mwangalifu hashindwi kujitegesha MIMBA ikanasa ukaja jf na stori upo njia panda!!!!! Sikio la kufa halisikii dawa
hahaha kweli out of site is out of mind kama ni hivyo tungekua 2naoana na majirani ze2 kupitia locationshp
dah huyu x atanifanya nicheat wakat mm ctak...mpnz wang yupo mbeya huu mwez wa3,na kuonana majariwa mana tulikua chuo k1 ye ndo amemaliza ths year...
huyu x yupo wote dsm na tunasoma wote chuo yy hajamaliza...tatzo ameshajua npo lonly bac mwee hzo calz x3 ka dozi ...sms ucseme c watsup c email,c bbm wala miibo ...na kama unavyojua mpnz kwa sasa anastruggle kutafuta maisha kwan ndo amemaliza chuo na hana ishu xo mda wote yupo kuangaika kutafuta xo calZ zimepungua na sms za uhaba na hv yupo mbal mweee...yan nahc kuteleza mwenzen
uwiiiiiii
Mbona umeshaamua tayari unataka tukufanyie nini?Toka mlipoduu mara ya mwisho kwani ulibaki na password?Jilipue tu manake utakufa mwenyewe
Kwani mtoa
Mada jinsia gani?