sidhan kama naweza kufikia hatua ya kuleta fujo coz najitambua!,,,,Kuna jamaa alikuja hapa na uzi alienda kumsuprise demu wake wa chuo hivi matokeo yake demu akamkana akaambulia kichapo kwa kuwavurugia watu starehe zao naona huyu ndg ndo anakitafuta,ukweli unajieleza wenyewe unagongewa afu hamkomi/kujifunza tu kwa wenzenu maana haipiti mwezi mtu moja au wawili lazima waje jukwaani kulialia juu ya mademu wa vyuo.Fimbo ya mbali haiui nyoka.
tehe tehe tehe,,ayo mambo ya uchunguz ntadeal nayo mwenyew,,,athante kwa concern
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
tehe tehe i use to be tht way too before ths gal bt i promicd myself kua serius nae and means no cheating,,,mpaka apa maana yake ni kua the way i use to thnk abt her changed and now uchakachuaj unaweza kuanza wakat wowote few days to come,,,,nahc wkt wang wa kutulia bado as i am only 25,,,ngja ncheze ngonjera za ujana mpk kielewekeTake it from me, dont do that, utaumia na siku nyingine kwa mwingine utaumia, simple way dont take any relationship seriously. Trust none and you wont be disappointed. I had the same problem those days, but now am singing and dancing in any relationship as i dont give a damn to anything.
ingawa siwez kuusemea moyo wake bt i prety sure kua she z nt of th type,,,,binafsi hua namuona anajieshimu,,,nakumbuka wkt bado nkiwa nasoma nlikua namuona na kufatilia kwa karb mwenendo wake,,,ni msichana anaejitambua kwa kwel
tehe tehe hadsith inafanana na ya ngoswe,,,Kama anajitambua kinachokupa donge moyoni ni nini? Kwamba u mwaminifu sanaaaaa au unakumbuka mshawasha ulioupata wakati mkiwa kwenye vibanda umiza na sasa unadhani kuna mwenzio anamtenda ulivyokuwa ukimtenda? Napenda sana watu wanaowaza positively....nakumbuka kisa kimoja cha bwana mmoja alirudi nyumbani kwa kushtukiza majira ya mchana,mkewe kusikia mlio wa ghari kaanza kutweta chumbani (kwa kuwa alikuwa anafanya mapenzi na shemejie) huku mtoto wao mdogo akiwemo ndani... Bwana mkubwa kufika sebuleni (down stair) mtoto anamkimbilia na kumwambia mama yuko hoi kitandani (akidhani anaumwa) na kwamba kuna uncle kajificha bafuni...jamaa bila kupaniki kaenda chumbani kamkuta mkewe uchi juu ya kitanda na kuingia bafuni kamkuta jamaa,,,kwa upole akamuuliza jamaa inakuwaje mke wangu ni anatweta unashindwa kumpatia huduma ya kwanza na badala yake unavua nguo kumtisha mtoto? Wakati mwingine msiwe mnakimbilia conclusion mapema...
Nimekumiss pia honey touch, nipo boutique hapa njoo basi boo boo...nilivyo kumiss sasa!!
mmhh..! moyo wangu uko chapa chapa bo boo!!
sidhan kama naweza kufikia hatua ya kuleta fujo coz najitambua!,,,,
sijazama kichwa na miguu kias cha kua boya najielewa ila nnachokitaka ni kujua ukwel il niwe sahh,,,nakuhakikishia kama ntamkuta amezingua ntahakikisha nabak ck 2-3 za kua na kabint cha apo chuo kujituliza mawazo
''fimbo ya mbali haiiuu nyoka kaka''Kuna jamaa alikuja hapa na uzi alienda kumsuprise demu wake wa chuo hivi matokeo yake demu akamkana akaambulia kichapo kwa kuwavurugia watu starehe zao naona huyu ndg ndo anakitafuta,ukweli unajieleza wenyewe unagongewa afu hamkomi/kujifunza tu kwa wenzenu maana haipiti mwezi mtu moja au wawili lazima waje jukwaani kulialia juu ya mademu wa vyuo.Fimbo ya mbali haiui nyoka.
Nimekumiss pia honey touch, nipo boutique hapa njoo basi boo boo...
''fimbo ya mbali haiiuu nyoka kaka''
lakin sio kila wakat tht apply!!,,
tehe tehe kufumaniwa sio rahis ingawa apo kwenye muda may b ya right i nid mo tym kujiridhisha,,,Miezi mitano tu umeishamuamini vipi kama wewe ndo umeingilia mapenzi ya wenzio? Ukienda huko utakutana na mpenzi wake ambae wako kwenye mahusiano zaidi ya miaka mitano. Huwezi kumwamini mwanamke kwa muda huo mfupi hapo ninachoona wewe umeingilia mapenzi ya watu sasa nenda huko wakakufumanie.
kukolea ofcoz i am coz ckua namfanya part tym,,,she gat my future in her hand thts why i have to fight 4 it,,ila kama haijapangwa hatuwez kulazimisha,,,kwa maelezo yako inaonekana umekolea kwa huyo demu ndo maana unahaha wewe sema unajitahidi kujipa moyo
tht z one side of the coin,,the other side coulb be what am doinKaka kuna wanawake ambao hawana ujasiri wa kutamka neno "it is Over" wao ni vitendo tuu. Navyoona hapo ashapata mwingine wewe anza kumuondoa taratibu akilini mwako otherwise ukikomaa nae utakuja kushuhudia maumivu makali ambayo hujawahi kuyapata.