Dah kuna watu majasiri sana. Hivi why on this Earth would you call or ask to meet another man to ask if he is screwing your girl? Unakuwa hujiamini au? Kaka huyo demu wako anakamuliwa na huyo checkbob. Wanakuchora sana na kukucheka. Eti amekuja akakana na kuomba msamaha. Hamna kitu, ni sanaa tu hizo. Na demu wako anamkubali sana huyo jamaa. Samahani najua inaumiza lakini inauma zaidi kuona kijana kama wewe unakubali kufanywa zoba. Piga chini huyo demu kicheche, tafuta mwingine. Wapo wadada wanajiheshimu. Vile vile acha tabia ya kupekua pekua simu ya mwanamke, utaumiza kichwa bure hawa viumbe wana mambo mengi.