miss chaga nilidhan hua unafanya reasoning,,,megundua ya not!,,,yani wewe demu kakuona zoba zoba hapo ni mmoja kuna wengine pia... ila kkwa kuwa unaroho ya huruma hongera na pole kwa uchovu wa safari... mkuu siku nyingine andika basi maneno yvizuri kuliko kutumia vifupi jamani loh!!1
miss chaga nilidhan hua unafanya reasoning,,,megundua ya not!,,,
watu wanawafumania wake zao wanawasamehe sembuse mpenz?,,,
by the way hata uamuzi wa kumsamehe na conversation zile ulitokana na sabab nyng ikiwemo i was sure it was the initial stages,,,mm pia nilikua muumin wa kuacha tena bila hata kufanya reasoning na wala kupgizana kelele bt i found out ni utoto,,,na ndo maana utu uzima dawa,,,
ok let say kaliwa!,,ndo atakua wa kwanza?,,,by the way sijamkuta bikra!,,means alikua ameshaliwa,,,to me r'ship goes beyond kuliwa na kulwa,,,busara ni sehem muhimu sana kwenye mahusiano,,,m am proud nilipata busara za kufikia uamuzi wa kumsamehe,,,Heheheh watu mnadanganywa kirahisi sana Sijasoma.hzo msg but t doesn't make.sense hata kidogo eti "Mr lecturer " hajala mzigo Wewe kama kumsamehe amua kummsamehe Ukijua kabisa kaliwa.mzigo Mara kadhaa na sio kwa kudanganywa eti anamtaka "anamtaka my foot" Y don't u ace the reality? Sikupingi kumsamehe ila nashangaa unavyolazimishwa kudanganywa bro Use UA real eyes to realise those lies we jamaa duuu
Niwasalam wana mmu,ni matumain yangu kila moja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku,kwa ambao wana matatzo mungu awape ufumbuz.
Lengo la uzi huu ni kutaka kuleta mrejesho wa thread niliyoileta kwenu siku za nyuma kua nahis naibiwa.Kwenye ile thread nilieleza wasi wasi wangu juu ya mpenz wangu na dhumun langu lakumfanya suprise kuonana nae il nijue kinaga ubaga,na last wikend ndivyo ilivyokua;
kupitia my causin anaeish ddma nilipanga arrangement kua yy (causin) ampigie shmj ake na kuomba kuonana nae siku ya j,moc uck ambapo ilikua ndo muda ambao ningefika aliko mpenz wang,mambo yakaenda poa na kufikia sa 2 kasoro tayar nkawa nimefika.
Kwa kweli suprise ni nzuri lakin mine was too suprising,,,,kuniona kidgo azimie,tuliend nlipofkia(lorge) thn nkaona kabla ya kuanza kusema kilichonleta nikaona vzr tuonyeshe tumemisiana kivitendo then after that nikamueleza kua kimenileta kummic pia it was her fon na coz ckumpa nafasi tena ya kushika cm yake i was sosure ningekuta kila kitu ingizingatiwa she ddnt expect me,,,,
alileta mgomo kuweka pattern lkn bdae alifanya hivyo na mm kuingia ndan kujionea,,,,nilikuta conversation kat yake na mtu ambae alinieleza uko nyuma kua ni her supervisor and anamfundisha darasan,,,the charting was so intimate kias kwamba i was frustrated,,,kwa bahat nzuri msure(lecture) akapiga simu nikapokea na kumpa ya moyon kua he has to let the girl go since namjua na km akiendelea taarifa zitamfikia mke wake pamoja na uongozi wa chuo(hop this wil help),yule bwana ni mtu na familia yake and he was takin adv of being a lecture kwamba bi dada akizingua atamshika,,,vagi likaanzia apo na kwa kwel it was so painfully kwangu ingawa ni kwel aliniambia yule mwl anamtaka ila hakuniambia wanachat maneno mazuri ivo,,,aliniomba msamaha sana kias kwamba alikua anagara gara chumba kizima claiming ananpenda and she z not ready kuniacha,,,,,
Mpaka asbh niliamua kumsamehe na kurud mkoan kwangu,,ila kwa kumpa angalizo kua nxt tyme tatzo kama ilo no forgiveness,niliona ni busara na yy pia atajifunza kitu kutokana na incidence,,
Samahanini sana kwa maelezo maref kwan hata mm cpend kusoma thred ndef ila nimelazimika kuwapa picha kamili.
sor its lecturerHakuna anYepingana na ww kuhusu kusamehe sababu uamuzi ni wako 2 una haki 3 I blv in 2nd chances Ila tatizo umekua bwe-ge mtozeni aisee huyo Mr lekuture ts obvious anagegeda kama yake we we unaambiwa anamtaka na unakubali We jamaa sijui Wa aina gani Kama hnaamua kumsamehe msamehe with the clear picture kwamba jamaa anagegeda sio anamtaka
ok let say kaliwa!,,ndo atakua wa kwanza?,,,by the way sijamkuta bikra!,,means alikua ameshaliwa,,,to me r'ship goes beyond kuliwa na kulwa,,,busara ni sehem muhimu sana kwenye mahusiano,,,m am proud nilipata busara za kufikia uamuzi wa kumsamehe,,,
usikute na ww unakomaa kaliwa coz hua unafanya hiv na unajua kabsa apo ni manyoya tehe tehe,,,
mi nampenda mpenz wang na kama n kumuacha t has to be somnthn realy serius,,
kwa mujibu wa conversation ndo kwanza wameanza and km ingekua kugegedana ni baada ya binti kumaliza mitian ths friday,,na msing wa kumsamehe uko hapo,,mkuu japokuwa Kuchapiwa ni siri ya ndani but ni vizuri kujua jamaa alishamgegeda au ilikuwa bado? mrejesho unatakiwa ueleze hili pia.
yani wewe demu kakuona zoba zoba hapo ni mmoja kuna wengine pia... ila kkwa kuwa unaroho ya huruma hongera na pole kwa uchovu wa safari...
mkuu siku nyingine andika basi maneno yvizuri kuliko kutumia vifupi jamani loh!!1
sor its lecturer
Jinunulie jeneza lako kama lady jay mapema maana yatapanda bei siku za usoni
let say kagegedwa wat does it matter kwamba jamaa kaondoka na kiungo?,,,ningeweza kusema kwann nna 100 percent hajagegedwa bt cwez kusema kwann,,,km wewe unaamin kagegedwa kherii,,,ukiamin kinyume pia kwangu sawa tu,,,wat i care z niko poa nowWe jamaa hatujasema umefanya maamuz kwa kukurupuka wala hatujasema sio busara tunachosema umemsamehe kwa kosa ambalo hajafanya ts obvious kagegedwa ulitakiwa kumsamehe kwa kugegedwa baba Face the reality
kwa mujibu wa conversation ndo kwanza wameanza and km ingekua kugegedana ni baada ya binti kumaliza mitian ths friday,,na msing wa kumsamehe uko hapo,,
ok let say kaliwa!,,ndo atakua wa kwanza?,,,by the way sijamkuta bikra!,,means alikua ameshaliwa,,,to me r'ship goes beyond kuliwa na kulwa,,,busara ni sehem muhimu sana kwenye mahusiano,,,m am proud nilipata busara za kufikia uamuzi wa kumsamehe,,,
usikute na ww unakomaa kaliwa coz hua unafanya hiv na unajua kabsa apo ni manyoya tehe tehe,,,
mi nampenda mpenz wang na kama n kumuacha t has to be somnthn realy serius,,
kwa mujibu wa conversation ndo kwanza wameanza and km ingekua kugegedana ni baada ya binti kumaliza mitian ths friday,,na msing wa kumsamehe uko hapo,,
ningeisoma hiyo ya mwanzo nazani ningekuw kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutoa maoni ila hapa sielewi chochote