Nahisi nadanganywa

Hapo hakuna bikira. Wajanja washakula. Awe na mwanaume zaidi ya mmoja halafu asiliwe?
Bikira adimu sana kwasasa mkuu ni kama kuokota dhahabu njiani.
Angekuwa bikira wala asingekuficha juu ya wanaume wake wengine.
 
Iyo ishu haiko serious kuna kitu huwa anaweza kuwa anakihitaji au anataka kuonesha kwa maboy kuwa yupo na mpenz tu ila kwa mapenzi kuna asilimia ndogo
 
ni bora niambiwe ukweli kuliko kudanganywa
ukweli gani? na utajuaje ni ukweli? wanaume nyie huwa ni wajinga sana.kitu huwezi kuprove unakishikilia bango mwisho ufe na pressure bure.kama humtaki dada wa watu mwambie ukweli acha longolongo
 
Iyo ishu haiko serious kuna kitu huwa anaweza kuwa anakihitaji au anataka kuonesha kwa maboy kuwa yupo na mpenz tu ila kwa mapenzi kuna asilimia ndogo
umeongea point,naona dalil zote hapa
 
kama ikiwa ni kweli nipo tayari kutulia
Ni ngumu kuwa na uhakika kwa kile kinachotoka moyoni kwa mtu cha kufanya ni wewe mwenyewe ujitahidi kuiaminisha nafsi yako kile unachoambiwa.
 
amini ni wako peke yako braza....... ukiulizia mwisho utaambiwa kakako kagonga.... hicho kiporo kipashe ukishughulikie......
mkuu nikikuta sio bikra itakuaje
 
Hapo hakuna bikira. Wajanja washakula. Awe na mwanaume zaidi ya mmoja halafu asiliwe?
Bikira adimu sana kwasasa mkuu ni kama kuokota dhahabu njiani.
Angekuwa bikira wala asingekuficha juu ya wanaume wake wengine.
real..sasa kwanini anidanganye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…