Ila kwani lazma ule kibua tu hata pweza nae samaki 😛ngoja nijaribu hiyo mbinu. ila ninako elekea itakuwa kesi ya stalking.
Duh nitumie no yake
Kwanini ukomae na mtu mmoja asieeleweka wakati wanawake wapo kibaolafudhi uliyotumia imenitatiza kuelewa.