Nahisi Mungu ananichapa kiboko

Kwa hiyo hizo mimba zote umewapa wewe?
 
unknown fact, katika maeneo fulani hapa jijini out of 10 primegravida 3 to 4 are found HIV positive at initial antenatal visit, kwa hali hii itafikia 10 kwa 10.
 
bado umeizunguka point ....,

nipo na wewe, nikachepuka nikanogewa huko, nikaanza kukufanyia figisu. wewe ndo umekolea sana hutaki penzi lifike mwisho.

kuachana kwa wema hapo kunatokeaje?
As a woman who knows her self-worth, it is possible.

Think I would waste any of my time making enemies, or trying to get back at you?
 
Mkuu mbona nasikia mambo ya hivi yanaondoka vizuri tu...
walikudanganya walipokuambia 'chapa ikalale'

Women are people like you. Not robots, and they hurt more because they give alot more than their bodies.

And that's why the price men pay is heftier because of the volume of their tears.
 
Afadhali una hofu na Mungu.
Sasa hapo tubu kwa Mungu omba akusamehe makosa yako na watafute hao uliowakosea uwaombe msamaha na umuombe msamaha mzee wako kakuonya mara nyingi sana.

Sipatii picha ungekua mwanamke ungekuaje maana inaonyesha unaringa kinoma.
Hiyo ni karma mkuu lazima ikupate tuu hata ufanyeje.
Hii case yako ni ndogo kidogo kuliko ile niliyoishuhudia mtu akiwaambukiza ukimwi watu wengine makusudi.
 
Ni wachache sana waelewa wengi ukimuomba muachane anakuchukia! mimi kuna mtu ananichukia bora hata ya shetani ila ndio hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…