Nahisi mshikaji wangu amerogwa, hii sio akili yake

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
865
Reaction score
2,273
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea .

Huyu mwanamke, "kibibi", ana masikio yaliyotobolewa mara tatu kila upande, pua yake ina kipini, na ulimi wake pia una kipini. Kuhusu suala la bikra sijamuuliza, lakini nina wasiwasi kama zipo zote!

Mimi sikubaliani na uamuzi wake. Leo namchukua rafiki yangu nampeleka Ferri ili akapande pantoni mara mbili tu, ili akawaone watoto wachanga, "vigori".

Nataka kumwonyesha kwamba kuna wanawake wengi wazuri na wenye umri mdogo kuliko huyo mwanamke mzee.

NB; Kijana, tafuta vibinti kati ya miaka 19 hadi 25. Hao ndio wanawake wa kweli! Wenye miaka 26-27 unaweza kuwafikiria kidogo, lakini huyo wa miaka 28 na kuendelea ni wazee . Hao ni "vibibi" haswa!
 
shida ni hivyo vipini labda, ila huyo binti ni mdogo, ni gen z(wamezaliwa 1997-2012)
 
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea .

Huyu mwanamke, "kibibi", ana masikio yaliyotobolewa mara tatu kila upande, pua yake ina kipini, na ulimi wake pia una kipini. Kuhusu suala la bikra sijamuuliza, lakini nina wasiwasi kama zipo zote!

Mimi sikubaliani na uamuzi wake. Leo namchukua rafiki yangu nampeleka Ferri ili akapande pantoni mara mbili tu, ili akawaone watoto wachanga, "vigori".

Nataka kumwonyesha kwamba kuna wanawake wengi wazuri na wenye umri mdogo kuliko huyo mwanamke mzee.

NB; Kijana, tafuta vibinti kati ya miaka 19 hadi 25. Hao ndio wanawake wa kweli! Wenye miaka 26-27 unaweza kuwafikiria kidogo, lakini huyo wa miaka 28 na kuendelea ni wazee . Hao ni "vibibi" haswa!
Mwenzako FaizaFoxy kaolewa na Bado anaonekana kigoli kabisa. Mwaka 1981 ndiyo alimaliza degree yake ya Electronics Engineering, Canada
 
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea .

Huyu mwanamke, "kibibi", ana masikio yaliyotobolewa mara tatu kila upande, pua yake ina kipini, na ulimi wake pia una kipini. Kuhusu suala la bikra sijamuuliza, lakini nina wasiwasi kama zipo zote!

Mimi sikubaliani na uamuzi wake. Leo namchukua rafiki yangu nampeleka Ferri ili akapande pantoni mara mbili tu, ili akawaone watoto wachanga, "vigori".

Nataka kumwonyesha kwamba kuna wanawake wengi wazuri na wenye umri mdogo kuliko huyo mwanamke mzee.

NB; Kijana, tafuta vibinti kati ya miaka 19 hadi 25. Hao ndio wanawake wa kweli! Wenye miaka 26-27 unaweza kuwafikiria kidogo, lakini huyo wa miaka 28 na kuendelea ni wazee . Hao ni "vibibi" haswa!
Mama yako aliolewa akiwa na umri gani?
 
Mpaka hizo siku 90 za uchunguzi ziishe, tutaona na kusikia mengi
 
Miaka 28 ndio mwanamke sasa, hao wenye miaka 19 hata kuoga hawajajua bado, labda hoja iwe kwenye hivyo vipini vitatu masikioni, puani na kwenye ulimi, huyo choo kinatumika vizuri tu, kwa hizo sababu asimuoe ila ya umri itolewe, miaka 28 ndio mwanamke matured sasa
 
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea .

Huyu mwanamke, "kibibi", ana masikio yaliyotobolewa mara tatu kila upande, pua yake ina kipini, na ulimi wake pia una kipini. Kuhusu suala la bikra sijamuuliza, lakini nina wasiwasi kama zipo zote!

Mimi sikubaliani na uamuzi wake. Leo namchukua rafiki yangu nampeleka Ferri ili akapande pantoni mara mbili tu, ili akawaone watoto wachanga, "vigori".

Nataka kumwonyesha kwamba kuna wanawake wengi wazuri na wenye umri mdogo kuliko huyo mwanamke mzee.

NB; Kijana, tafuta vibinti kati ya miaka 19 hadi 25. Hao ndio wanawake wa kweli! Wenye miaka 26-27 unaweza kuwafikiria kidogo, lakini huyo wa miaka 28 na kuendelea ni wazee . Hao ni "vibibi" haswa!
Ngoja akufukunyue wewe ndio utaacha kuhangaika na nyege za watu.
 
Naunga mkono hoja,
mwambie rafiki yako aangalie viwiko utaona vishakuwa vyeusi haswaa.
ila mkuu mapenzi hayashauriwi, mchuma janga hula na wakwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom