Nahisi mpenzi wangu ana govi

Status
Not open for further replies.

DIKE

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
370
Reaction score
159
Habari zenu wana Jf.

Naomba msaada wa mawazo
==========

Mchango
 
Wanawake na nyie...mnhhhh.

umepata bahati ya kuliwa na "natural man " unapiga mikelele...waulize wambea wenzio kuwa mara ya mwisho kuliwa na mwenye govi ilikuwa lini utashangaa...wanawake wote mjini na ujanja wao hawajawahi kuliwa na mwenye govi...mtunze sana huyo mchumba wako..wakina wema na lulu wakimjua umekwishaaaa.

kwa taarifa yako tuu..wanasema wenye magovi ni "watamu" kuliko waliokata....nimelimiss govi langu masikini....na pia wanasema team vibamia woote wamekata hivyo basi magovi wooote ni team mandingo.
 
Anyway..kesho weka picha ya hilo unalohisia kuwa ni govi...tutakuambia ndio au sio.
 
DIKE,

Mjenge kisaikolojia umuoneshe kuwa ni kawaida tu kuwa katika hali hiyo ila ni bora zaidi kutahiri kwani kuna faida zake mfano masuala ya usafi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…