chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
Habarini wana jamvi,
narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.
Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.
Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kazi.
Naombeni ushauri wenu jaman, nifanyeje?