multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
Hakikisha muda wore unacheti cha ndoa mkobani!
Ukimchekea nyani shambani atakusumbu .mwisho utaambulia mabua j natureDogo priority yako Ni mapenzi au pesa...kwa umri wako zingatia hela.. ingawa ulivoandika inaonekana huyo demu anakumudu na ubavu wa kumuacha anajua huna..nawewe unajua kumuacha huwez...yaani wewe Ni wale nice guys....endekeza aje akuaibishe
Bado mtoto ukikua utaelewaWanaonjewa wajinga tu, ukimpenda mwanamke na ukagundua kuwa anakupenda sana pia, basi akija kukusaliti huko mbeleni ujue ni ujinga wako tu.Mwanaume mjanja anamalizana na mwanamke wake mapema kabisa kiasi kwamba anakuwa free kufanya mambo yake popote pale bila hofu ya kusalitiwa.
Ukimpenda sana mwanaume tengeneza mazingira kwa namna yoyote ile isiwezekane mtu yoyote kuingilia penzi lenu (as long as wote mnapendana), hii ni kwasababu binadamu tunashawishika sana anaweza kukataa wanaume 99 akaja kufeli kea yule wa 100, kwahiyo mlinde mwanamke wako by any means Ili update nafasi ya kumakinika na vitu vingine.
Huwa nawaonea huruma sana wanaume wanaishia kusalitiwa na wake zao baada ya muda mrefu wa huba zito.
Kama ni ukubwa ni kukaririshana kuwa kila mke wa mtu anakuwa, basi amini kwamba mimi ni mtoto. Ila wangu haliki bila mimi mwenyewe kutaka, na haitotokea.Bado mtoto ukikua utaelewa
Kwa vp mkuu.. Unaic unaweza kumchunga hasilike nje?Kaka mnaliwa wakwenu tu, hivi hii dunia ni ya kuhangaikia mapenzi? Tatizo vijana wa sikuhizi mnaamini sana katika utandawazi, na story story mnazozisikia kwenye vijiwe badala ya kukaa na wazee mkapata mwongozo, wengi wenu hamna nguvu za kiume kwasababu ambazo hazieleweki utakuta mtu miaka 30 tu hana uwezo tu ilihali kuna wazee wana miaka 50-55 wakiwakamatia wake zenu wanazuzuka.
Wangu haliki kirahisi hivyo mpaka ile siku nitakayokata pumzi ya mwisho, narudia tena haliki utaishia kumtamani tu ila kumla hautoweza mpaka kiama.
NB:Haliki,haliki, haliki.....
Kama ni ukubwa ni kukaririshana kuwa kila mke wa mtu anakuwa, basi amini kwamba mimi ni mtoto. Ila wangu haliki bila mimi mwenyewe kutaka, na haitotoke
Huna lolote mkuu unapigiwa vizuri tuuKama ni ukubwa ni kukaririshana kuwa kila mke wa mtu anakuwa, basi amini kwamba mimi ni mtoto. Ila wangu haliki bila mimi mwenyewe kutaka, na haitotokea.
Si namaana ya kwamba umchunge, utakuwa ni mpuuzi sana kujiaminisha kwamba unaweza kumchunga mwanamke asiliwe nje na haiwezekani, unachoweza ni kumfanya asishawishike kwa namna yoyote ile(cha msingi ni uwe na uhakika kuwa anakupenda kweli ).Kwa vp mkuu.. Unaic unaweza kumchunga hasilike nje?
Naona unataka mashindano tu, kila mtu aamini anavyoamini.Wewe amini kuwa mke wako analiwa hovyo na watu huko nje(kwanza najua huna mke ndomaana una utoto), na mimi nibaki na msimamo wanguwa kwamba kwa uwezo wa kawaida huwezi kumla wangu, kuna watu mnaichukulia simple sana hii dunia 😂😂😂😂Huna lolote mkuu unapigiwa vizuri tuu
Long story ila kiufupi kanizidi miaka 5, kanitangulia kujitegemea, baada ya Mimi kuanza kujitegemea pia ndipo tukaanza mahusiano mwisho wa siku tukakubaliana kuishi pamoja kwa lengo la kuokoa gharama ili nguvu iende kwenye kupambania future tukiwa pamoja
Aya bhn ila nachoshukuru umejianda vizuri kisaikolojia pindi utakapo oa kila la kheri usichapiwe.Naona unataka mashindano tu, kila mtu aamini anavyoamini.Wewe amini kuwa mke wako analiwa hovyo na watu huko nje, na mimi nibaki na msimamo wanguwa kwamba kwa uwezo wa kawaida huwezi kumla wangu, 😂😂😂😂
Ngoja nicomment kwanza kabla sijasoma uziHellow, Habari Wana JF. Sorry Mimi sio muandishi mzuri hua nachanganya capital letters katikati,
As normal Jf imekuwa na member bright sana ambao wengine washachomwa mishale mingi sana kwenye maisha ya mahusiano hivyo kuwafanya kuwa watu wenye experience kubwa katika kutatua changamoto yoyote ya kimahusiano inayowahusu kwa kutumia busara zaidi bila shari au hata kujaribu kuwashauri wale wenye uhitaji wa ushauri kutoka kwao ikiwemo mimi pia ambae nahisi bado kabisa ndo kama nachipukia kwenye hii kitu inayoitwa mahusiano ya mapenzi (I'm 21yrs).
Let's go to the point [emoji116]
Naishi na mwanamke huu mwaka wa pili Sasa(pika pakua) jinsi tulivyoanza kuishi nadhani Leo sio siku ya special ya kuelezea hilo, ila katika safari ya miaka hio miwili nimeshakutana na changamoto ya usaliti Kutoka kwake, Mwanzoni nilikuwa nikifuma messages za kunicheat katika cm yake alikuwa ni mtu anaejua kupoteza ushahudi sana, kwa mfano; Kuna siku nilifuma messages zake za WhatsApp akichart na jamaa fulani ambae kiukweli ndo kama alikuwa akimtongoza(it's normal kwa wanawake kutongozwa) ila kilichoniuma katika conversation yao alionekana kukubali Ile appointment ya jamaa(he! jamani hapa si alikuwa anaenda kuliwa kabisa???) kile kitu kilifanya nikapanick sana coz Ukizingatia ndo first time Dah!
Nilijikaza nikarudisha simu nikajikausha kama sijaona chochote aliporudi kufanya manunuzi ya vitu dukani akapika fresh tukaanza kula, Kidume nilijikaza nikawa najitia kula lakini chakula ngumu kumeza wakati huo mwenzangu anabugia matonge Tena na simu yake kama anachat hivi na katabasam kwa mbaliiii nikaona eh! uvumilivu unanishinda nikawaza ngoja nakiamsha hapahapa kama mbwai iwe mbwai.
Mimi; Mary em Simu yako
(akaniangalia kisha akafanya kama anasikitika fulani na kucheka kama dharau hivi Kisha akanipa Simu niliporudi kuzicheki zile messages ambazo ndo kama chanzo changu cha ushahidi wa kunikingia ubavu bwanae! sikuona chochote zilikuwa deleted tayari (Hawa viumbe ni waajabu sana yani wapo very sharp. Sasa sijui alijuaje, na kumbe ndo maana hakusita kunipa simu yake) Ile kitu ilinikasirisha sana na ikanifanya nione kwamba kumbe mwanamke ninaeishi nae ni hatari hivi, Sikuonesha reaction yoyote nilijifanya tu kama nilitaka simu yake kwa lengo la kucaluculate kitu tu Ila roho haikutulia kabisa na chakula nilishindwa kukila kabisa.
Mara ya pili nilihisi tu kwamba kuna jamaa jirani yangu ambae ni fundi makenika kama vile yupo kwenye root za kumnyemelea mwanamke ambae ninaishi nae kama mke na mume, Nilihisi hivyo kwa kuwa alikuwa ni jamaa fulani kama anajishtukia sana tukionana macho kwa macho basi nikasema ngoja nifuatilie bhana we! kwani nilikosea basi?
Ni kitendo cha kucheki simu ya mwanamke nikaona kwenye call history Kuna namba inaonekana kumpigia sana wife ila haipo saved then ukiangalia kwenye history inaonekana wanaongea muda mrefu sana imagine 6dk-10dk alafu Namba ya wazazi wake naijua na ninayo pia, Ya Ndugu zake karibu wote ninayo na pia sio mwanamke wa kukaa na namba ambayo haipo saved kwenye Simu yake basi nikajiuliza huyu ni Nani anaongea nae kwa muda mrefu hivi? (Kumbuka wife ni mtu tunakutana jioni tu maana kutwa yupo kazini kwake na Mimi nipo kazini kwangu) nikachukua Ile namba nikaisave kwangu then nikaenda kuichungulia whatsapp He! jamani sura ya makenikia si hii hapo asee safari hii sikulaza damu nikakiamsha sana Ila baadae mwanamke alikiri kuwa jamaa ndo alikuwa akimtongoza lakini hakumkubali,
Pale nikakosa nguvu ya kumuwajibisha kwa sababu sikuwa na ushahidi kama je, mwanamke alimkubalia??? maana ni kweli wanawake kutongozwa ni normal tu Yule makenika Nakumbuka siku iliyofuata nilipoona nae jicho kwa jicho kiukweli yule jamaa najisi alfahamu kabisa kwamba Mimi Kuna kitu nimegundua baada ya pale nahisi waliambiana nimewaahtukia yule makenika sikuwahi kumuona tena (Aisee Hawa wanawake kuwakamata vizuri hadi akose pa kutokea ni kazi ngumu sana. hua nawakubaligi sana Wanaume wanaowafumania wake zao na ushahidi wa kutosha Aisee Hawa watu wanakuwaga maginious sana, Ukiona mwanaume kamfumania mwanamke ata akichukua maamuzi mabaya yaheshimu sana maana Hawa viumbe kuwafumania inahitajika akili iliyotulia hasa kwa wale watu wenye kuhitaji ushahidi wa kutosha) Tuachane na Hilo maana Hilo lilipita salama.
Tuje tukio Hili lililopelekea kuandika huu uzi, ni Kitu kama Cha week mbili zilizopita Kutoka Leo wife ameniambia kapanda cheo kidogo kazini kawa supervisor na kutokana na Hilo atakuwa analazimika kuchelewa kutoka kazini nikajibu "Alhamdulillah mke wangu MUNGU anasikia maombi yetu hongera sana) basi saa 3 usiku ndo akaanza kurudi nyumbani, Sio siri inaboa sana lakini no way ili tutimize malengo kila mmoja yabidi achacharike.
Sasa jana muda yeye kashalala (Mimi hua nachelewa kulala sana maana napenda kuutumia usiku kupitia maswala ya biashara yangu) sijui kilinisibu nini nikajikuta nimeshika simu yake ambayo ni ndogo nikajikuta nimeenda sehemu ya kuhifadhi messages (inbox) ndipo nikakutana na ujumbe wa jamaa kamsave "Robert" umetumwa neno My love,, picha nitakuwekea hapo chini, Aisee huyu mwanamke hajawahi kunifuma mimi maana Sina tabia za kimalaya mbona aisee ni mimi Kila siku tu ndo naumia??? Basi kukusanya data kamili nikaanza kutafuta muendelezo, Kiukweli jamaa inaonekana ndo kama wameanzaanza
Nikapata kwenye call history nikakuta jamaa ametoka kuwasiliana nae ahsubh na wametumia sec kama 60 na mchana kama dk 2 hivi, nikachukua Ile namba nikaenda kucheki profile ya WhatsApp naona jamaa sio asili ya kitanzania, Anaonekana kama muhindi fulani hivi na pia nikagundua wanafanya kazi kampuni moja na kimuonekano Anaonekana ni boss nilijua Hilo baada ya kuona kitambulisho cha jamaa kipo the same na Cha wife, Sasa kiukweli I'm tired of this shit,
Nataka nipate ushahidi wa kutosha kabisa ili siku namwambia it's over iwe inamake sense maana hawachelewi kusema nilimchoka tu, Please ambae anaejua jinsi ya mimi kufanya ili ikiwezekana nimfumanie vizuri hadi achanganyikiwe maana anajionaga ni mtu innocent sana alafu mjuaji sana huyu mwanamke kumbe ana tabia zake mbaya za chinichini, Sikatai mwanamke kutongoza kawaida ila Kukubali je, Mtu humtaki inasave namba yake ya Nini? unaahundwa hata kuiblock basi sawa ishieni kwenye chatting pekee he! call history inaonekana mnaongea Tena sana tu, Au ndo aliempa cheo? Au navyoniambia anachelewa kwaajili ya kazi usikute ndo muda wao wa kuenjoy?
Please kama Kuna mtu wa kunisaidia njia ya kumfunia huyu mwanamke naomba anisaidie tafadhali, Nimeacha na sina wala kushobokea mwanamke mwingine kwaajili yake, Inaniuma sana kwa mwanaume kujinyima kama hivi kwaajili ya pimbi kama huyu Inakuwaga na maumivu eti wazee Bora ningekuwa Malaya.
View attachment 1921712
Ndio maana nimemshauri adukue simu ya mkewe ili afe na presha!Kama huna uwezo wa kumuacha usitengeneze mazingira ya kumfumania huyo Mwanamke na wewe mtoa mada uwezo wa kumuacha huyo Mwanamke huna
stupid commentKama huna uwezo wa kumuacha usitengeneze mazingira ya kumfumania huyo Mwanamke na wewe mtoa mada uwezo wa kumuacha huyo Mwanamke huna
Mungu amsaidie dogoNdio maana nimemshauri adukue simu ya mkewe ili afe na presha!
Cha msingi aje nimuuzie jeneza kabisa ili asije kuwapa mzigo watakaobaki
Stupid mwenyewestupid comment
Ebu punguza hasira mkuu, chukua glass ya maji baridi unywe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Stupid mwenyewe