Inaskitisha sana!yaani afadhali ya janaNyuzi za kumegwa zimekua nyingi sana au ndio msimu wake huu?
Hahhaha kwa sababu kampandisha kwenye treni au?? Ni usiku watu wanavumilia kusoma yeye analeta chai ambazo haziishi...Unataka tukeshe endelea kuweka episode na usome mwenyewe