Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Uchawi upo sana...tena kuna hata research zime document hayo mambo...hata kwenye vitabu vya Mungu yapo...
watu wapo serious hakuna utani,,,,,,,!!!!😛eep:Tatizo nikikuroga hutaweza kuja kuleta ushuhuda humu kua kweli yule jamaa nilimwambia aniroge kaniroga. Hakuna atakaekuja kuthibitisha humu kweli nimekuroga.
Vinginevyo tutafute third part atakaekuja kuthibitisha kua kweli umerogwa ili na wengine waamini.
watu wapo serious hakuna utani,,,,,,,!!!!😛eep:
unataka kumroga Nyani ngabu duuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!Kwani nani hayupo seriou? Wewe unaloliona kwako sio serious kwangu ni serious and the vice versa is true labda uniambie sio mada au haihusiani na mada hii hapo ntakuelewa vingnevyo hii ni serious kwangu.
Kongosho unamsikia KIKUNGU anavyokuweka kama mfano anataka kutugombanisha!!!!!
Mwache dogo atoe shombo bwana,na huyo dada angu wa kinyamwezi ni sehemu sahihi kwake.Chezea shanga kibao za kinyamwezi wewe cc Kongosho
mr Eli79 kiuhalisia miaka 29 ni mtu mzima sana sioni nilipokosea labda mwanamke awe na umbo la kisheta!!!
Heh, 29 ni bibi? Basi mie ajuza aisee.
kwahy mkuu ndugu yako mfano akiwa anatembea na mtu mwenye HIV na wewe unajua utamwacha!!!
Hapo sasa....Inaonekana na wewe tu una tatizo na hujakua
Tangu lini mapenzi ya ndugu yakaingiliwa na ndugu mwingine?
dogo wa kidato cha tano na dada wa miaka29 aiseeee huoni haijakaa vyema bidada atafute size yake
miaka yangu unaitaka ya nini....!!!
Kuwaita wanawake wenye 29 mabibi kunaonyesha hata wewe ni under 20, coz kama ni above 25 huwezi kuwaita hivyo.