Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Nahisi marehemu alirudi kuniaga

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa sauti maana hapo umejiona mwenyewe unajua maandiko kabisa? Hahahahahahaha unajua sababu ya Sauli kulaaniwa na kiti chake kuchukuliwa na Daud? Unajua historia ya Sauli kua alikua anapandisha majini hadi apigiwe kinubi ndio majini yanatulia? Huyo mzuka akiyeenda kumuinua unajua alimuinulia kwa nani? Je ni kwa nabii, mtume au mganga? Jibu utakua nalo kua mtu akifa amelala usingizi mzito hajui lolote

Soma sana maandiko mkuu acha kujipumbaza na vimstari vifupi bila kuijua historia nzima. And by the way hii ndio maana hata maandiko yanasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Unaenda kwa mchungaji anakupa kimstari kimoja cha kujifariji kumbe behind historia nzima kakuficha na sababu wewe ni mvivu wa kusoma maandiko unamuona mchungaji wako kama malaika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya hebu tumsubiri akujibu
 
Inasemekana KUWA "siku 30 kabla ya mtu kufa hufanya mambo ya tofauti au mazuri au mabaya".

Mimi zamani nikiwa Teen nilikuwa nikikuota umefariki ndugu yangu wewe andaa wosia maana unakufa kweli kwa sasa naota watu hawafi
Mkuu hii umesem kweli
Mimi pia niko hivo
2012 niliota mama yangu mdogo kazaa mtoto aliyekufa ikawa kweli

2017 niliota rafiki yangu kafa kesho yake asubuhi natumiwa texts jamaa kafa .alikua mzima kabisa usiku tuna chat
 
Mkuu hii umesem kweli
Mimi pia niko hivo
2012 niliota mama yangu mdogo kazaa mtoto aliyekufa ikawa kweli

2017 niliota rafiki yangu kafa kesho yake asubuhi natumiwa texts jamaa kafa .alikua mzima kabisa usiku tuna chat
Dah! Kwangu mimi nilikuwa naogopa hata kusema kwa watu, nilikuwa naota nabaki na ndoto yangu.
 
Back
Top Bottom