Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Huwa inatokea kwamujibu wa maandiko roho za wafu na waliohai hua zinawasiliana pale unapokua usingizini, ndo mana wakati mwengine unaeza kumuota mtu aliyekufa zamani mkipiga story
 
Roho zinapotoka hazina haraka kwenda zinakotakiwa. Huwa zinawarudia marafiki/ndugu kumalizana nao kwenye mambo flani flani haswa ahadi. Awezakuja kukuomba umtunzie mtoto au umrudishie mali yake. Haya mambo yapo, huyo ni kweli marehemu alikuja kukuaga
Hii ni movie mkuu, ushahidi wa maandishi kuwa mtu akifa haya hutokea imeandikwa wapi???

Kama hakuna maandiko basi ni batili, kuna mkuu mmoja hapo juu ameweka vifungu vya biblia kuhusu wafu yaaan yupo straight kabisa ila hii ya kwako ni story za mitaani kuaminishana uongo

Weka andiko mkuu iwe Bible au msaafu mwaga maandiko, vinginevyo acha kupotosha watu waamini kwenye majini na mapepo wakidhani ni wapendwa wao
 
Huwa inatokea kwamujibu wa maandiko roho za wafu na waliohai hua zinawasiliana pale unapokua usingizini, ndo mana wakati mwengine unaeza kumuota mtu aliyekufa zamani mkipiga story
Maandiko yapi, usiseme kwa mujibu wa maandiko huku huyaweki hayo maandiko

Acheni porojo za kumtukuza ibilisi bila kujijua aiseeee
 
Wakuu habari za mihangaiko

Leo naomba kama kuna wataalamu wa mambo ya ulimwengu wa roho naomba mnisaidie kunijibu swali langu hili

Nilikua na rafiki yangu wa kike kiukweli nilimpenda vilivyo
Mimi kipindi namaliza yeye alikua mwaka wa pili
Nilikua nataniana nae sana nilipendelea kumuita strong woman
Kwasababu alikua anajihamini sana na alikua mchangamfu sana na alikua mcha Mungu na nilikua naimba nae kwaya moja
Nakumbuka hata siku namaliza chuo Nilienda kumuaga kama mida ya SAA tatu usiku nikimpa taarifa kua kesho yake nasafiri
Lakini alinipigia simu tena kama saa saba usiku akaniambia asubuhi kabla sijasafiri niende anione tena kwa Mara ya mwisho yaani nikamuage tena

Basi me ilipofika asubuhi nikaamka nikaenda kumuaga tena kama alivyonisihi
Tukaagana vizuri tuu nikaondoka kurejea nyumbani
Siku zikapita nikawa naendelea kuwasiliana nae mchana na usiku

Baada kama ya siku kadhaa kupita akaugua ghafla na mauti yakamkuta
Nakumbuka ilikua muda ya SAA sits mchana nikatumiwa ujumbe kwamba amefariki

Kiukweli nilihisi kama utani nikampigia simu marehemu nikiamini hajafa ni utani tu
Simu yake haikupatikana ikabidi nimtumie SMS
Yani kiujumla nilikua kama nimechanganyikiwa kwa muda huo

Nilipata uhakika baada ya kuona picha zake zikianza kusambaa mitandaoni zikiwa na neno R.I.P

Sikua na namna tena nililia kwa sauti kuu nikimlilia
Nilimlaumu sana marehemu kwanini hakuniaga,
Nilitamani aamke ninuulize hats swali moja kisha alale tena

nilifika mpaka hatua nikaanza kumwomba Mungu aniletee huyu Dada kuna kitu nataka nimuulize kisha amchukue tena.

Zilipita kama siku mbili siku ya tatu nikiwa nimelala nikaota ndoto yule msichana akanijia tukapiga story kisha alivitaka kuondoka akaniambia "usilie sana tusipoonana tena duniani tutaonana mbinguni" akaondoka

niliposhtuka usingizini nilihamaki sana nikajiuliza mini maana ya ndoto hii? Je kweli amerudi kumuaga?

Basi asubuhi nikamuandikia rafiki yangu SMS nikamueleza Jana usiku niliota Grace amekuja na akanisihi tutaonana tena,

Rafiki yangu akanijibu kua ninamuwaza sana ndio maana hadi namuota kwaiyo nipunguze mawazo

Basi nikapotezea

Ikapita kama wiki moja nikiwa nimelala nikaota ndoto tena

Grace akaja tulikua chini ya mti tena mazingira tuliyokuwepo ni mazuri sana nikaongea nae mambo kibao kisha akaniambia anawai sana kwani siku hiyo ni siku ambayo mbinguni wako wanajifunza masomo ya biblia kisha akasepa

Nikashtuka tena usingizini kiukweli nilikosa majibu juu ya hii ndoto
Nilibaki nahamaki sana

Mpaka leo Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Wadau kwa yoyote anaeweza kuwa anajua ni mini maana ya hizi ndoto?
Je inawezekana ni kweli marehemu alirudi kumuaga au?

Kwahiyo na Wewe labda unataka umfuate huko aliko sasa ili pengine tuanze kujiandaa Kukusindikiza?
 
Inasemekana KUWA "siku 30 kabla ya mtu kufa hufanya mambo ya tofauti au mazuri au mabaya".

Mimi zamani nikiwa Teen nilikuwa nikikuota umefariki ndugu yangu wewe andaa wosia maana unakufa kweli kwa sasa naota watu hawafi
kweli kuna mmoja kafariki mwezi april alikuwa na bifu na dogo mmoja alikuwa anamfuata kwake ucku na kutishia kumuua kwa visu na mapanga. siku kala konyagi kaanguka kafariki .waswahili kwa ujinaga weru yule dogo ananyoshewa vidole kwamba anahusik
 
Wakuu habari za mihangaiko

Leo naomba kama kuna wataalamu wa mambo ya ulimwengu wa roho naomba mnisaidie kunijibu swali langu hili

Nilikua na rafiki yangu wa kike kiukweli nilimpenda vilivyo
Mimi kipindi namaliza yeye alikua mwaka wa pili
Nilikua nataniana nae sana nilipendelea kumuita strong woman
Kwasababu alikua anajihamini sana na alikua mchangamfu sana na alikua mcha Mungu na nilikua naimba nae kwaya moja
Nakumbuka hata siku namaliza chuo Nilienda kumuaga kama mida ya SAA tatu usiku nikimpa taarifa kua kesho yake nasafiri
Lakini alinipigia simu tena kama saa saba usiku akaniambia asubuhi kabla sijasafiri niende anione tena kwa Mara ya mwisho yaani nikamuage tena

Basi me ilipofika asubuhi nikaamka nikaenda kumuaga tena kama alivyonisihi
Tukaagana vizuri tuu nikaondoka kurejea nyumbani
Siku zikapita nikawa naendelea kuwasiliana nae mchana na usiku

Baada kama ya siku kadhaa kupita akaugua ghafla na mauti yakamkuta
Nakumbuka ilikua muda ya SAA sits mchana nikatumiwa ujumbe kwamba amefariki

Kiukweli nilihisi kama utani nikampigia simu marehemu nikiamini hajafa ni utani tu
Simu yake haikupatikana ikabidi nimtumie SMS
Yani kiujumla nilikua kama nimechanganyikiwa kwa muda huo

Nilipata uhakika baada ya kuona picha zake zikianza kusambaa mitandaoni zikiwa na neno R.I.P

Sikua na namna tena nililia kwa sauti kuu nikimlilia
Nilimlaumu sana marehemu kwanini hakuniaga,
Nilitamani aamke ninuulize hats swali moja kisha alale tena

nilifika mpaka hatua nikaanza kumwomba Mungu aniletee huyu Dada kuna kitu nataka nimuulize kisha amchukue tena.

Zilipita kama siku mbili siku ya tatu nikiwa nimelala nikaota ndoto yule msichana akanijia tukapiga story kisha alivitaka kuondoka akaniambia "usilie sana tusipoonana tena duniani tutaonana mbinguni" akaondoka

niliposhtuka usingizini nilihamaki sana nikajiuliza mini maana ya ndoto hii? Je kweli amerudi kumuaga?

Basi asubuhi nikamuandikia rafiki yangu SMS nikamueleza Jana usiku niliota Grace amekuja na akanisihi tutaonana tena,

Rafiki yangu akanijibu kua ninamuwaza sana ndio maana hadi namuota kwaiyo nipunguze mawazo

Basi nikapotezea

Ikapita kama wiki moja nikiwa nimelala nikaota ndoto tena

Grace akaja tulikua chini ya mti tena mazingira tuliyokuwepo ni mazuri sana nikaongea nae mambo kibao kisha akaniambia anawai sana kwani siku hiyo ni siku ambayo mbinguni wako wanajifunza masomo ya biblia kisha akasepa

Nikashtuka tena usingizini kiukweli nilikosa majibu juu ya hii ndoto
Nilibaki nahamaki sana

Mpaka leo Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Wadau kwa yoyote anaeweza kuwa anajua ni mini maana ya hizi ndoto?
Je inawezekana ni kweli marehemu alirudi kumuaga au?

Mawazo tu hayo, get over it usije kuja kuanza kujifunza uganga kusema marehemu kaniotesha kikombe cha dawa ya ukimwi ukaanza kusumbua viongozi wetu kuja na magari mpaka ukerewe
 
Nadhani ni kweli, mwaka 2003 Nilimpoteza Baba Ile hali nilikaa nayo kwa muda mrefu sana maana ndio mara yangu ya kwanza kumuona mtu tena Baba akifa huku ninamuona!! Alikoroma kwa nguvu Sana kisha akatulia kwa kuwa tulikua kwenye wodi ya peke yetu nikaenda kumuita Nurse kumbuka ni saa nane Usiku, basi Nurse alipokuja akaangalia drip haitembei akasema "Basi, tayari tumfunike vizuri" Dah.

Baada ya kipindi kirefu Nilimuona Baba mahali alikua analima, akanisihi nisiwe na wasi wasi tena juu yake. Since then sijamuona tena na hadi Leo ninavyoandika Hivi ni kama Namuona ananiaga.

Mwaka jana nikampoteza Mama yangu Kipenzi! Mwezi wa nne, miezi kadhaa Baadae baada ya kipindi kigumu Sana, siku moja asubuhi Sana ni kama nilikua naota, nikamuona Mama Akaniambia "Usilie Sana Mwanangu niko salama" baada ya hapo, imepita muda sijamuona wala kumuota tena

Hivyo, huenda Wapendwa wetu huwa Wanarudi kutuaga, huwezi kuelewa kama hujakutana na situation kama hio.
 
Pole sana muombe Mwenyenzi Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu unachoptia...Biblia inasema ata ukiwa na imani kama chembe ya haradali itakuokoa na kukuinua amini rafiki yako ameenda Mbinguni na endelea na maisha kwa amani..
 
Wakuu habari za mihangaiko

Leo naomba kama kuna wataalamu wa mambo ya ulimwengu wa roho naomba mnisaidie kunijibu swali langu hili

Nilikua na rafiki yangu wa kike kiukweli nilimpenda vilivyo
Mimi kipindi namaliza yeye alikua mwaka wa pili
Nilikua nataniana nae sana nilipendelea kumuita strong woman
Kwasababu alikua anajihamini sana na alikua mchangamfu sana na alikua mcha Mungu na nilikua naimba nae kwaya moja
Nakumbuka hata siku namaliza chuo Nilienda kumuaga kama mida ya SAA tatu usiku nikimpa taarifa kua kesho yake nasafiri
Lakini alinipigia simu tena kama saa saba usiku akaniambia asubuhi kabla sijasafiri niende anione tena kwa Mara ya mwisho yaani nikamuage tena

Basi me ilipofika asubuhi nikaamka nikaenda kumuaga tena kama alivyonisihi
Tukaagana vizuri tuu nikaondoka kurejea nyumbani
Siku zikapita nikawa naendelea kuwasiliana nae mchana na usiku

Baada kama ya siku kadhaa kupita akaugua ghafla na mauti yakamkuta
Nakumbuka ilikua muda ya SAA sits mchana nikatumiwa ujumbe kwamba amefariki

Kiukweli nilihisi kama utani nikampigia simu marehemu nikiamini hajafa ni utani tu
Simu yake haikupatikana ikabidi nimtumie SMS
Yani kiujumla nilikua kama nimechanganyikiwa kwa muda huo

Nilipata uhakika baada ya kuona picha zake zikianza kusambaa mitandaoni zikiwa na neno R.I.P

Sikua na namna tena nililia kwa sauti kuu nikimlilia
Nilimlaumu sana marehemu kwanini hakuniaga,
Nilitamani aamke ninuulize hats swali moja kisha alale tena

nilifika mpaka hatua nikaanza kumwomba Mungu aniletee huyu Dada kuna kitu nataka nimuulize kisha amchukue tena.

Zilipita kama siku mbili siku ya tatu nikiwa nimelala nikaota ndoto yule msichana akanijia tukapiga story kisha alivitaka kuondoka akaniambia "usilie sana tusipoonana tena duniani tutaonana mbinguni" akaondoka

niliposhtuka usingizini nilihamaki sana nikajiuliza mini maana ya ndoto hii? Je kweli amerudi kumuaga?

Basi asubuhi nikamuandikia rafiki yangu SMS nikamueleza Jana usiku niliota Grace amekuja na akanisihi tutaonana tena,

Rafiki yangu akanijibu kua ninamuwaza sana ndio maana hadi namuota kwaiyo nipunguze mawazo

Basi nikapotezea

Ikapita kama wiki moja nikiwa nimelala nikaota ndoto tena

Grace akaja tulikua chini ya mti tena mazingira tuliyokuwepo ni mazuri sana nikaongea nae mambo kibao kisha akaniambia anawai sana kwani siku hiyo ni siku ambayo mbinguni wako wanajifunza masomo ya biblia kisha akasepa

Nikashtuka tena usingizini kiukweli nilikosa majibu juu ya hii ndoto
Nilibaki nahamaki sana

Mpaka leo Nahisi marehemu alirudi kuniaga

Wadau kwa yoyote anaeweza kuwa anajua ni mini maana ya hizi ndoto?
Je inawezekana ni kweli marehemu alirudi kumuaga au?
Hivi mkuu Ulienda hata kumzika mapenz wako?anarudi kukulalamikia kwanini hukuenda kumuaga siku yake ya mwisho hapa duniani kabla ya kuzikwa
 
Nadhani ni kweli, mwaka 2003 Nilimpoteza Baba Ile hali nilikaa nayo kwa muda mrefu sana maana ndio mara yangu ya kwanza kumuona mtu tena Baba akifa huku ninamuona!! Alikoroma kwa nguvu Sana kisha akatulia kwa kuwa tulikua kwenye wodi ya peke yetu nikaenda kumuita Nurse kumbuka ni saa nane Usiku, basi Nurse alipokuja akaangalia drip haitembei akasema "Basi, tayari tumfunike vizuri" Dah.

Baada ya kipindi kirefu Nilimuona Baba mahali alikua analima, akanisihi nisiwe na wasi wasi tena juu yake. Since then sijamuona tena na hadi Leo ninavyoandika Hivi ni kama Namuona ananiaga.

Mwaka jana nikampoteza Mama yangu Kipenzi! Mwezi wa nne, miezi kadhaa Baadae baada ya kipindi kigumu Sana, siku moja asubuhi Sana ni kama nilikua naota, nikamuona Mama Akaniambia "Usilie Sana Mwanangu niko salama" baada ya hapo, imepita muda sijamuona wala kumuota tena

Hivyo, huenda Wapendwa wetu huwa Wanarudi kutuaga, huwezi kuelewa kama hujakutana na situation kama hio.
Mama ako Alikuwa mtu wa dini sana???
 
Yaani wewe mwanakwaya ulikuwa unagegedana na mwanakwaya mwenzio afu mnaimba kusifu na kuabudu!!! Hizo Ni salaamu anakuletea utubu kabisa.
Ndo maaana mm na waimba kwaya huwa hatuivi kabisa! Unafiki wa hali ya juu
Aiseee hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama unaamini hivyo, ni sawa. Uwe na amani sasa na uendelee na maisha yako. Hamkujaliwa kuwa pamoja, hakuna la zaidi.
 
Hii ni movie mkuu, ushahidi wa maandishi kuwa mtu akifa haya hutokea imeandikwa wapi???

Kama hakuna maandiko basi ni batili, kuna mkuu mmoja hapo juu ameweka vifungu vya biblia kuhusu wafu yaaan yupo straight kabisa ila hii ya kwako ni story za mitaani kuaminishana uongo

Weka andiko mkuu iwe Bible au msaafu mwaga maandiko, vinginevyo acha kupotosha watu waamini kwenye majini na mapepo wakidhani ni wapendwa wao

Kwa kuwa wewe ni miongoni mwa wavivu wa kusoma biblia ngo tukusomee. 1 Sam. 28 : 14 Naye akamuuliza, Ni mfano wa nani? Akajibu, Ni mzee anazuka; naye amefunikwa vazi. Basi Saul akatambua ya kwamba ndiye Samwel mwenyewe. akainama uso wake mpaka nchi, akasujudu.
Naomba usiwe mvivu wa kuyasoma maneno ya Mungu hadi usomewe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa sauti maana hapo umejiona mwenyewe unajua maandiko kabisa? Hahahahahahaha unajua sababu ya Sauli kulaaniwa na kiti chake kuchukuliwa na Daud? Unajua historia ya Sauli kua alikua anapandisha majini hadi apigiwe kinubi ndio majini yanatulia? Huyo mzuka akiyeenda kumuinua unajua alimuinulia kwa nani? Je ni kwa nabii, mtume au mganga? Jibu utakua nalo kua mtu akifa amelala usingizi mzito hajui lolote

Soma sana maandiko mkuu acha kujipumbaza na vimstari vifupi bila kuijua historia nzima. And by the way hii ndio maana hata maandiko yanasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Unaenda kwa mchungaji anakupa kimstari kimoja cha kujifariji kumbe behind historia nzima kakuficha na sababu wewe ni mvivu wa kusoma maandiko unamuona mchungaji wako kama malaika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom