Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Hahaha kwamba huwezi kutoa ushauri auSasa hivi huku nilipo ni usiku
Hahaha kwamba huwezi kutoa ushauri auSasa hivi huku nilipo ni usiku
hahahahahahahaMtoa mada angekuwa mwanamke ungeona wanaume wa jf ambavyo wangeanza kutoka povu, lol princess ariana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke.... pia kuna mmbulu graduate anafanya CRDB Arusha[emoji23][emoji23][emoji23]Mnyaturu graduate?.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji86] [emoji86][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke.... pia kuna mmbulu graduate anafanya CRDB Arusha[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hushangai? [emoji15]Mkuu unashangaa mnyaturu kuwa graduate au ni nini apo
WordPole sana mkuu, don't lose hope. Two things:
- Yes ni vizuri kuishi na watu vyema ila achana na kuhusisha imani kwenye matukio ya maisha, especially when it comes to life struggles.Hebu fikiria kuna watu wangapi wame watenda wanawake even worse (kuwazalisha, kuwakatisha masomo na kuwatelekeza )lakini bado wanapeta? Don't take the easy way out! The reality is, it is simpler to blame your situation on her words rather than facing the truth ie may be you lack something or are a simply a failure.
- Pia despite the progress you see in your friends kumbuka hali ya ajira nchini si nzuri. There are probably million others (i totally made up the number) in a similar situation. i.e graduates with no jobs and zero income. So hang in there inshallah mungu atakujalia in due time
FACTKaka huyo Mzanzibari hahusiki kwa namna yoyte na maisha yako. Pambana mkuu.
Mimi laana za aina hiyo nishazipata kwa wanawake zaidi ya watano. Kuna niliyemzalisha, na mwingine nlipiga mimba afu nkalazmisha atoe. Na nlifikia hadi kuongea na wazee wake.. Na maisha yangu yanasonga vizuri tu. Kaka pambana pambana pambana. Halafu ukishakua na mentality hiyo basi jua hutafanikiwa kweli. Achana naye, yeye siye anayetoa riziki bana. Yeye mwenyewe anamtegemea Mungu tu, atawezaje kuzuia riziki zake kwa laana za kijinga? Kwanz hukuoa. Kwahyo mlikua mnafanya makosa wote, sasa iweje mfanye makosa wote afu uadhibiwe wewe peke yako??!
Achana nae, songa mbele mkuu, yeye hahusiki kabisa hapo acha kupoteza muda
Msaidie nauli tuSasa hivi huku nilipo ni usiku
Siku hzi wanasoma mkuuWewe hushangai? [emoji15]
Mpaka wanafikia level ya graduates?Siku hzi wanasoma mkuu
Kule hamna shida siku hizi bado watu wa Dodoma na kondoa ndo hawataki shule waleMpaka wanafikia level ya graduates?