cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,815
- 137,540
Najikuta nacheka ila naomba wakuu msicheke. Haya mambo yasikie tu

Alama za viganjani huwa zinafanana na MTU yyte mkuu. Amekupiga na kitu kizito. Ni ngumu sana mtoto usifanane nae hata kitu kimoja! Pole sana mkuu, take a heart ila ukimbana atasemaSio nikaulize kwetu hakuna mtu mweupe. Sio Kwa baba, sio Kwa mama wote tinted. Labda kwao ila sijamuuliza nataka asishtuke kama namchunguza huyu dogo.
Umeandika kipindi unatungi kichwani.😂Wataalam wa mambo... twende kazi....
Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.
Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika na anakuwa mweusi, lakini mbona huyu rangi haibadiliki?
Mtoto ana miezi kumi saizi ila hata dalili za kubadilika rangi hamna, toto bado ni jeupee.
Nahisi kuna uwepo wa miso misondo hapa a.k.a kitu kizito sasa subiri.
Niliapa katika maisha yangu siji kuuwa mtu hata siku moja, kwanza ni zambi ila kumbe inawezekana kiurahisi tu aisee na wala sio zambi kumbe.
Ngoja kwanza muda wote najifanya kama sijashtuka vile nakaa na mtoto nacheza nae kumbe mjuba namkagua chalii na bado sijioni kabisaaaaa.
Tumefanana kitu kimoja tuu, ile mistari ya kwenye viganja... Alama zilivyojichora kwenye kiganja changu cha kushoto nayeye cha kushoto ziko vile vile.... Na za mkono wa kulia wangu zilivyojichora na yeye vile vile ila the rest ni utofauti wa kiwango cha lami....
Kuna time nikiwa nimempakata namcheki dogo weeee kama anakujaa alafu anakataaa..... Napiga funda Moja la safari... Namcheki tena weeee anakuja alafu anakataaaa.
Nahisi kuna siku nitatangazwa kwenye kile kipindi cha matukio ya wiki pale I.T.V kwa kitendo ambachi nimepanga kukifanya. We ngoja, time will tell.
TM hiyo mbona kawaida tu kwenye familia nyingi,hata mabibi na mabibi walipiga faulo😅😅😅Hahahahahaha..ila kama ni kweli sio wake..wadada mtakua mmetisha sana
Hahahahaha J unatetea hizo Faulo eeh ? Utakutana na RED CARD ktk hizo fauloTM hiyo mbona kawaida tu kwenye familia nyingi,hata mabibi na mabibi walipiga faulo😅😅😅
Hahahahaha..haya bhanaHivyo ndio atajibiwa siku akikiamsha
Duuuh red card Tena, 🤣🤣🤣 mi bwana nimesoma kwenye makala eti kwenye Kila familia kumi mbili tu ndio Huwa hamna faulo zilizobaki zote mara Mmoja faulo,mara wawili faulo, mara watatu faulo au woteeeee faulooo😄😄Hahahahaha J unatetea hizo Faulo eeh ? Utakutana na RED CARD ktk hizo faulo
Hahahahahaha...nimekuelewaDuuuh red card Tena, 🤣🤣🤣 mi bwana nimesoma kwenye makala eti kwenye Kila familia kumi mbili tu ndio Huwa hamna faulo zilizobaki zote mara Mmoja faulo,mara wawili faulo, mara watatu faulo au woteeeee faulooo😄😄
Unataka nikupe?Niue kama mwanaume kweli🙄🙄🙄😅
Ah wapi hii ni kauli ya kutetea ushetani wa wanawake, mtoto kama siyo damu yako aende kwa baba yake yeye na mama yake. Mwisho wa siku unalea halafu inakuwa kama Diamond Platnumz unaambiwa we mzee Naseeb siyo baba baba ni mzee Nyange. Tushukuru Mungu DNA imegunduliwa. DNA ndiyo mwarobaini, wanawake wanajiuza sana siku hz wanaita kudanga halafu kinga hawapendi.KITANDA HAKIZAI HARAMU. ALIYEZALIWAA NA MKEO NI MWANAO, MPENDE ,MWANAO ACHA KUMKAGUA KAGUA, MTOTO AKIWA MDOGO SURA HUBADLIKA BADILIKA NA SIO LAZMA AFANANE NA WEWE, ANAWEZA FANANA NA BIBI AKE SHANGAZ WA MKEO AMBAYE NI CHOTARA
Usimdhuru yeyote, kama unahisi kudanganywa achana naye, kisasi si chako na kitakupa matatizo zaidi. Pima DNA utashangaa kukuta ni wako!Wataalam wa mambo... twende kazi....
Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.
Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika na anakuwa mweusi, lakini mbona huyu rangi haibadiliki?
Mtoto ana miezi kumi saizi ila hata dalili za kubadilika rangi hamna, toto bado ni jeupee.
Nahisi kuna uwepo wa miso misondo hapa a.k.a kitu kizito sasa subiri.
Niliapa katika maisha yangu siji kuuwa mtu hata siku moja, kwanza ni zambi ila kumbe inawezekana kiurahisi tu aisee na wala sio zambi kumbe.
Ngoja kwanza muda wote najifanya kama sijashtuka vile nakaa na mtoto nacheza nae kumbe mjuba namkagua chalii na bado sijioni kabisaaaaa.
Tumefanana kitu kimoja tuu, ile mistari ya kwenye viganja... Alama zilivyojichora kwenye kiganja changu cha kushoto nayeye cha kushoto ziko vile vile.... Na za mkono wa kulia wangu zilivyojichora na yeye vile vile ila the rest ni utofauti wa kiwango cha lami....
Kuna time nikiwa nimempakata namcheki dogo weeee kama anakujaa alafu anakataaa..... Napiga funda Moja la safari... Namcheki tena weeee anakuja alafu anakataaaa.
Nahisi kuna siku nitatangazwa kwenye kile kipindi cha matukio ya wiki pale I.T.V kwa kitendo ambachi nimepanga kukifanya. We ngoja, time will tell.
KITANDA HAKIZAI HARAMWataalam wa mambo... twende kazi....

Mwisho wa siku wana peleka sample kwa mkemia mkuu. Mashine na mwenye ruksa ya kufanya hiyo analysis ni mkemia mkuu tu.Sasa hivi hospitali binafsi zinazofanya DNA zipo nyingi tu. Ni wewe na pesa yako tu.
Vijana mbona mnapaniki mambi madogo namna hii. Awe wako asiwe wako, as long as unaishi na mama yake na mama yake ni mkeo huyo ni mtoto wako.Wataalam wa mambo... twende kazi....