Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Pumba.com

Natumaini umejifurahia kuandika haya jipe pongezi.

Kama we ulivyofurahia kuandika ya kwako, jipongeze pia hehehehehehehhe😀😀😀😀😀😀😗😗😀😀
 
:becky: Kavurugwa kweli, amekuja na mispidi yake anachanganya habari. Akajambe kule.

Timu mondi ndo mmevurugwa hahahahahaha na bado jamani tunasubiri part 2 kule insta inatoka lini? Mlitaka watu wakae kimya??? Hapa mpaka kieweke ama nene
 

Same goes to ur team bebe, tukaneni weeeeee si tunasonga mbele ama nene, mpaka muache twaarabu, tuzo mwaka huu mtaziona kwenye mawingu tu hahahahah! Mpaka nyodo ziishe
 
Wabongo ndo zao kusifia vya nje, vyao wakivilaani na kuvidhihaki, ila wengi ni stress tu, kama ni ukahaba zari kamzidi wema maana yeye east africa yote katembeza.

waliodate na zari ni invisible japokuwa hawaonekani ila ni wengi kuliko mtu mwenyew wema wanaonekana na ndo maana wanamsakizia umalaya
 


Huyo anaejiita dimond hana uwezo na hana jipya
 
Chibu unataka nikupeleke wapi ukale bataaa???
 
kwani kuna tatizo kwa wao kumpigia kampeni Ali?
Na wakati ule wanampigia kampeni Diamond mbona ukuja kulalamika hapa?!
 
Kwani zoezi la kuandikisha wapiga kura limeshafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…