Eti wanataka hata ile video ya mwana aliyoimba chooni sijui bafuni ndio iwe video bora
Yaan weweeee
Hao waungane wote wote Wema, kiba, joketi, Ivan, na wafuasi wao ila watakaa tu. Kumpandisha kobe kwenye mti sio rahisi.
na tutawapwelepweta kwelikweli ohooooo... Kwa miaka mitano kwenye game, mezani tunazo tuzo 15 za KTMA waache wastaafu wajiliwaze kwa pamoja maana dangote anawaotesha majipu kwelikweli... sema tu mi namuoneaga huruma kibakuli, tar 29/11 mwaka jana dangote anapopata tuzo tatu kwa mpigo jamaa ndio alikuwa anasheherekea bday yake chumbani kwa maumivu makaaaali saaana,, imekuja may 2 mwaka huu dangote anaingiza mamilioni kwenye party ya karne yeye amevamiwa daaaah....,
ahaahhaa umesahau na kuruka ukuta!!
Kama wanadhani itakuwa rahisi basi wajue hawatashinda.. Aliyepewa kapewa.
Hizi tuzo zao wanataka kuzirudisha kule kule zilipotoka. Eti Baraka DE prince anapewa kwa wimbo upi? Mbona ni wa mwaka huu? Mo music ameachwa kwa nini! Mtunzi bora eti Jux yumo dah yani wangejua huyo Jux hawezi ata kushika pen kuandika wimbo! Wapi Christian Bella Obama? Wapi Yamoto band? Wananchi wakiwapotezea kama BSS au Maisha Plus mtakosa kufanya biashara zenu. Mtabaki kulaumu.
Yani draft limevurugwa vurugwa ili walipange wanavyotaka.