Mke wa mtu sumu achana nae hyoHabarini Wanajamvi, Mliopo Kwenye Mfungo, Hongereni Kwa Swaumu. Twende Kwenye Mada, Mnamo Mwaka Jana Waliajiriwa Staff Wapya Hapa Ofisini Kwetu, Mmoja Wapo Kati Yao Nimebahatika Kuwa Nae Kwenye Idara Moja, Kama Mjuavyo utani Wa Maofisini mara Aniite Mpenzi, Mara Baby Na namuita Vivyo Hivyo.
Siku Moja Nilimuomba Tutoke Akakubali, Tukiwa Outing Katika Mazungumzo ya Hapa Pale, Akaniambia Ameolewa na Mtoto Ila Mumewe Hawaishi Pamoja Kutokana Na Changamoto ya Ajira, Akanionyesha Hadi Picha Za Harusi.
Ila Tuliendelea Kuwa Karibu, Mara Nimpeleke Hadi Kwake, Mara Nimletee Zawadi Kama Chocolate , Perfumes, Siku Aki Order Supu, Na Mimi Ananiletea, Tukihug, Analegea Kabisa, She Is Free Tunakiss, Mara Kwenye Mazungumzo, Aseme Hapendi Mwanaume Anaekunywa ( Coz hua Nakunywa Sometimes) , Baadhi Ya Staff Wenzangu Wanahisi Tuna Mahusiano, Kwa Kweli Ni Mzuri Na Mimi Nampenda, Ila Napata Ugumu, Labda Nitakapomueleza Hisia Zangu Pengine Nikaharibu Kabisa, Au Nikafanikiwa, Na Nikikaa Kimya Sijui Ananionaje? NAOMBENI Ushauri Wadau, Au Nikae Mbali Nae? Maana Kadri Siku Zinavyoenda Anazidi Kunihamasisha, Kumuota Hakuishi, Mwisho Usiku Wa Jana Kuamkia Leo.
Mtanisamehe Kwa Uandishi Wangu, Sipo Vizuri Kwenye Kuandika
Ahsanteni Na Karibuni
Dah...halafu kesho uje unalialia hapa...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Habarini Wanajamvi, Mliopo Kwenye Mfungo, Hongereni Kwa Swaumu. Twende Kwenye Mada, Mnamo Mwaka Jana Waliajiriwa Staff Wapya Hapa Ofisini Kwetu, Mmoja Wapo Kati Yao Nimebahatika Kuwa Nae Kwenye Idara Moja, Kama Mjuavyo utani Wa Maofisini mara Aniite Mpenzi, Mara Baby Na namuita Vivyo Hivyo.
Siku Moja Nilimuomba Tutoke Akakubali, Tukiwa Outing Katika Mazungumzo ya Hapa Pale, Akaniambia Ameolewa na Mtoto Ila Mumewe Hawaishi Pamoja Kutokana Na Changamoto ya Ajira, Akanionyesha Hadi Picha Za Harusi.
Ila Tuliendelea Kuwa Karibu, Mara Nimpeleke Hadi Kwake, Mara Nimletee Zawadi Kama Chocolate , Perfumes, Siku Aki Order Supu, Na Mimi Ananiletea, Tukihug, Analegea Kabisa, She Is Free Tunakiss, Mara Kwenye Mazungumzo, Aseme Hapendi Mwanaume Anaekunywa ( Coz hua Nakunywa Sometimes) , Baadhi Ya Staff Wenzangu Wanahisi Tuna Mahusiano, Kwa Kweli Ni Mzuri Na Mimi Nampenda, Ila Napata Ugumu, Labda Nitakapomueleza Hisia Zangu Pengine Nikaharibu Kabisa, Au Nikafanikiwa, Na Nikikaa Kimya Sijui Ananionaje? NAOMBENI Ushauri Wadau, Au Nikae Mbali Nae? Maana Kadri Siku Zinavyoenda Anazidi Kunihamasisha, Kumuota Hakuishi, Mwisho Usiku Wa Jana Kuamkia Leo.
Mtanisamehe Kwa Uandishi Wangu, Sipo Vizuri Kwenye Kuandika
Ahsanteni Na Karibuni
Unamwambia tuu ukweli..huwezi endeleza ukaribu kwasababu sio sawa. Alafu stay away....kwasababu hiyo tamaa itachipua itazaa kitu kingine.Respond Yake Sasa, Sometimes Hata Nikiwa Namkwepa, Analalamika mara Namchunia, Mara Simpendi Kama Mwanzo
Dah...halafu kesho uje unalialia hapa...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nahisi mtoto si wangu
Natamani Kujiua
nikajua umefunga sheikh wangu....We dj hebu weka replay hiyo yako wapi mapenzi ya christian bella
[emoji15][emoji15] umeongea kwa hisia Shem ake.Daaah! Mume anajua mkewe yuko.kazini kumbe yuko kwenye lunch na bae wa ofisini. Ndio maana vijana sku hizi wanaogopa kuoa
Braza achana na mke wa mtu sku moja watu wata mfanyia hivo mkeo. Karma issa bitch
Hapo sasa.mnakisiana! mnaleteana zawadi! mnahagiana! aisee huyo ni mkeo?
Usiwaze sana Shem wa kwako hana hizi tabia [emoji4]Braza hata huyu jamaa anaiba mke wa mtu
Hajamaliza tu ile stage ya mwisho ila mpaka sasa anatuuloza tumhalilishie tuu.
Ndoa hizi jamani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Trust me Shem yule ndugu yangu hana haya mambo ya kukiss na workmatesAm angry because of this siredi
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]