Yes.Sawa mkuu niitagunduaje kama ni allergies, je kuna vipimo vya allergies
Nenda Hosp kubwa Fanya kipimo cha allergy waone ENT specialist wakucheki kooni kama unashida yoyote....Sawa mkuu niitagunduaje kama ni allergies, je kuna vipimo vya allergies
Kuwa mkweli hapa unahistoria ya kwenda chumvini?Sawa mkuu niitagunduaje kama ni allergies, je kuna vipimo vya allergies
Assante kaka tatizo tu tumbo kuwaka moto hadi kwenye kooNenda Hosp kubwa Fanya kipimo cha allergy waone ENT specialist wakucheki kooni kama unashida yoyote....
Kuhusu kitu kukukaba kooni je Huwa unatatizo la gas?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ukifika Hosp mweleze dr yote Ayo ili ufanyiwe uchunguzi wa kina kuhusu tatizo lakoNi kweli usemayo mkuu niliwahi kufanya maramoja
Basi kama unatatizo la tumbo kuwaka moto hiyo ndo sababu hupelekea mpaka usikie Koo lako kama kitu kinakukaba Na pia husababisha kama kamasi sababu ya hiyo gas hupanda toka tumboni mpaka kooni nenda Hosp ufanyiwe kipimo cha vidonda vya tumbo alafu pia umuone ENT wakucheki Koo ili wakupe dawa lakini ninaamini sio tatizo kubwa kama ambavyo unawazaAssante kaka tatizo tu tumbo kuwaka moto hadi kwenye koo
Assante kaka kwa ushauri wako nalifanyia kazi soon inshallahBasi kama unatatizo la tumbo kuwaka moto hiyo ndo sababu hupelekea mpaka usikie Koo lako kama kitu kinakukaba Na pia husababisha kama kamasi sababu ya hiyo gas hupanda toka tumboni mpaka kooni nenda Hosp ufanyiwe kipimo cha vidonda vya tumbo alafu pia umuone ENT wakucheki Koo ili wakupe dawa lakini ninaamini sio tatizo kubwa kama ambavyo unawaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nalifanyia kazi tuoneBasi ukifika Hosp mweleze dr yote Ayo ili ufanyiwe uchunguzi wa kina kuhusu tatizo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa iyo tabiaNi kweli usemayo mkuu niliwahi kufanya maramoja