Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,063
- 1,188
Habari wakuu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo yapata mwaka sasa bila mafanikio, ulimi wangu umekuwa unalika na kupona wenyewe upande mmoja,
kuna kipindi nahisi kama kuna kitu mafano wa chakula kimekwama kooni na maumivu kwa mbali sana kooni, kifua na koo kuwaka moto,
Natokwa na vipele vidogo mkononi tumboni na kifuani, mwili kuchoma choma nimeenda hospital nyingi tu tangu mwaka jana naishiwa kupewa dawa tu bila kufanikiwa,
Nimekuwa na mawazo hadi nakosa raha kabisa naombeni ushauri wenu wakuu. Naambatanisha na picha hapo chini