Nahisi kujaribiwa na huyu dada

Nahisi kujaribiwa na huyu dada

hahahaaaaaaa yaani hii comment nimesoma mara mbili mbili nachekaje

siku wakiamka wanajikuta wote wako kama walivyozaliwa halafu that time

watamsingizia Shetani kuwa aliwapitia.........

Yaani wii acha tu,kuna muda majaribu tunayakaribisha wenyewe halafu tunamsingizia shetani
 
Naamini huyo dada ana majirani,walikuona umelala kwake siku mbili,na wewe una majirani
walimuona huyu dada kalala kwako siku moja,hivyo naamini mnafahamika kama wachumba au wahuni,sasa fanyeni haraka muwe wachumba kukwepa msiitwe wahuni
 
sikuwahifikria hili aiseee! nimejifunza kitu hapa!
 
Ni mdada tunaheshimiana sana na pengine amekuwa kama adopted sister kwa upande wangu, anajua A - Z kuhusu majanga yangu na wadada wa mjini na pengine anatumia muda wa kutosha kunishauri.
Sasa hali ni tofauti siku tatu zilizopita consecutively siku ya kwanza kaniomba nimpeleke akaogelee swimming pool bila shida nikampeleka anachojoa vinguo vyake mbele yangu huku akinitaka tuogelee wote huku viungo vyake vyote tete vinamvuta kila aliye lijali!!!!!!!
tulichelewa kufika kanitaka twende kwake kwanza kufika kaniganda nilale kwake eti anaogopa nikadhani labda ntalala peke yangu stori stori na mimi mpaka mzee nikahisi usingizi kanipeleka chumbani kulala kanipigisha tena stori hadi nikapitiwa na usingizi bila kujua nimeshituka tumekumbatiana ahsubuhi ila nilijikuta na nguo zangu na yeye yuko na nguo zake alizokuwa amevaa kadai naye alipitiwa na usingizi!!!!
Kesho yake kila mtu kashika 50 zake jioni kanitafuta tukapita club tukapiga moja baridi moja moto tukaenda kulala kwake maana anaogopa mpaka apate msichana wa kazi, sijajua kwa kuwa nilikunywa sijui alinishawishije tukalala chumbani kwake nimeamka nikajikuta niko na bukuta yeye na shimizi ila nadhani hatuku du!!!!!!!!!
Kesho yake jioni aliponitafuta nilimwambia najisikia vibaya na nalala kwangu mzee si akaibuka home nikajidai naumwa oh!!!! full huduma mara juisi, mara matunda, mara msosi huku kavaa nusu ut.upu mwisho wa siku kadai hawezi lala mbali na mgonjwa tukalala sote! Sasa leo kadai hawezi kulala wala kushinda bila mimi namheshimu sana jamani sijajua namuepukaje hapa?
Kama wewe ulikutwa na mambo haya please wewe ulitatuaje? ndugu zangu nisaidieni jamani!
Mimi yaliponitokea kama haya "nilichinja"
 
wahenga husema kisebu sebu na kiroho papo.
 
Duuh! nahis kichwa chako kina mawazo kama haya:loco:
A%20S%2013.gif
:flypig:
 
Natamani ningekuwa mie!
Angekuwa kaishapata mimba,tena huku kwetu palivyo na baridi mh!.
We endelea kuwa rafiki yake,tena siku nyingine nyote mvue nguo zote afu mkumbatiane huo ndo urafiki wa kweli.
 
Kweli unamheshimu,mara ya kwanza mmeamka mmekumbatiana na nyote mna nguo zenu mwilini,mara ya pili mlipoamka nguo zilipungua wewe ukabaki na bukta naye shumizi mkasingizia pombe,endelea kumheshimu mpaka siku mkiamka hamna hata nguo moja mwilini!!
Hivi mnakuwaje marafiki kiasi cha kutokuwa na mipaka? Ulipokubali kulala kwake kisa anaogopa ulimuuliza utalala wapi au ulisubiri akupeleke tu chumbani kwake mpige story mpaka mpitiwe na usingizi? Hivi kaka mkubwa hivyo unapangiwaje ratiba tu na rafiki like leo utalala wapi au nani atalala kwako na usiweze kupinga ukapanga vile unavyoona sahihi?
Endeleeni kuheshimiana bwana mpaka mtakaposituka mmeitwa baba na mama fulani!!

bonge la hoja!
 
Pengine we Sio mzima au huyo Dada ni mbaya ni noma coz siku mbili afu uamke mko kitanda kimoja mmekumbatiana dah! Sidhani Kama inawezekana hizi mambo hata bilble inasema kimbia we uniambie ........hapana nakataa.
 
Hili sasa ni janga la Taifa.... 🙁
 
Mmmmh julius mahinya be serious value ur self.
Ngono kitu gani?? Kwann ulale kwake anaogopa nini? Urafiki uwe na mipaka Kwa hiyo wewe mlinzi wake?? Tumia busara plus akili sio hisia ...
Hapo hakuna mapenz labda friendly mechi she know in and out of u...hizo ni Tamaa tu za mwili kimbia zinaa like medicine weka mbali na watoto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom