Nahisi kujaribiwa na huyu dada

Nahisi kujaribiwa na huyu dada

Mkuu mbona unachelewa KUMPIGA ndizi huyo mrembo?Acha kuremba golini kaka!
Atatokea Yaya Toure ata score mapema kabisa ahahahaha
 
Mkuu mbona unachelewa KUMPIGA ndizi huyo mrembo?Acha kuremba golini kaka!
Atatokea Yaya Toure ata score mapema kabisa ahahahaha

kwanza hicho kitendo cha wao kulala pamoja(kujumlisha na yeye kukublai kulala nae) alafu kuamka wamekumbattiana asubuhi it doesnt make sense kwangu mimi kabisa yaani,ameanzaje na amewezaje??
aisee...
kweli watu tupo tofauti
 
Kijana wetu sio striker mzuri!Nahisi ndiyo hawa vijana wanaokula chips mayai!Mm kama jinsia tofauti yenye umri unaoruhusiwa tena sio ndugu yangu tupo nae kitandani hata huo usingizi hauji bana

Nitakaa macho kufikiria game tu
 
hiyo pete kwenye avatar yako ni kwa ajili yake ama?
 
Kijana wetu sio striker mzuri!Nahisi ndiyo hawa vijana wanaokula chips mayai!Mm kama jinsia tofauti yenye umri unaoruhusiwa tena sio ndugu yangu tupo nae kitandani hata huo usingizi hauji bana

Nitakaa macho kufikiria game tu
ndo nashangaa anamtesa tu mtoto wa watu kwa nini alikubali kulala nae
 
dog hana meno huyo ataishia kubweka tu ila hawezi ng'ata
 
naomba namba yake ya simu nichane anavyofanya vibaya
 
Umefanya vizuri sana, dawa yake ndio hiyo...! Ila ukubali kuitwa -------, vile wengi hawawezi hii kitu ya kulala hadi asubuhi bila kamchezo.

Wanawake wa hivi siwataki...i want to suffer in the name of pussy!!
 
Katika midubwasha nimewahi kuckia habari zao we namba 1, jinga sana wewe
 
au wewe ni mwanaume suruali? hapo mnapenda sasa mnaoneana aibu sema nae acha ukimya
 
Back
Top Bottom