Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Folk Part II

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
294
332
Ndugu zanguni naumwa sana na spinal cord (hiki ni kinyama kinachofunikwa na uti wa mgongo upande wa nyuma kinaanzia shingoni hadi kiunoni)

Mimi panaponiuma sehemu mkabara na kifua (maumivu kama kidonda kimewekwa pilipili au nachomwa na moto pamoja na misuli kukaza iyo sehemu had mabegani)

Naomba kuuliza kuna mtu au ulimsikia amewahi kuumwa SPINAL TB (TB ya mgongo (ungwe mgongo) au spinal kushambuliwa na fangas?

Naomba msaada wa mawazo.

Nawasilisha.


download.jpeg
 
Upo wapi? Nenda Ikonda utakuja kunishukuru
Nipo songwe mkuu ikonda ilikuwa planned but the same runner wa hili tatizo alienda hawakuona kitu apa inabidi niwe na dakitar atakayenifanyia mavipimo tofauti na nilivyofanya maana vingi huwa vinarudia ukileta kuwashauri wakufanyie kingine watakwambia wewe ni dakitar au unanifundisha kaz kama ndo ivo bas jitibu, nawaombea msije umwa magonjwa kama hatar kama haya mbarikiwe sana ndug zanguni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom