Njoo kwangu mimi ambaye nimetoka kuachwa juzi tu hapa na mdada niliyekutana naye humu humu jukwaani. Nilimpenda kweli, ila ghafla tu akaniambia eti hanitaki kwa sababu ninamfanyisha mazoezi makali sana, na huu uzee wangu.Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa
Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo
Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu
Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali
Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyumaπ
Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi π’
Aendelee kutanuliwa njiaDhamira yako ni njema utampata aliye sahihi kwako,.
Wenzio sikuizi hawataki walio single wanataka waliooa.
Jiulize kwanza what's soo special about him???Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa
Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo
Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu
Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali
Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyumaπ
Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi π’
Wachaaa wee.Sawa mkuu
Kwani huyo ukimpa siku za hatari hamuwezi kupata watoto mkajenga familia? Hapo kuwa makini mpime Kama hatakimbia majukumu ya kulea.Kwaiyo mimi ndio niishie kuliwa tu mkuu mwisho wa siku na mimi nataka nitengenezee familia yangu
you nailed it BibiyeDhamira yako ni njema utampata aliye sahihi kwako,.
Wenzio sikuizi hawataki walio single wanataka waliooa.
kama unaliwa kwa Faida ... Sawa tuKwaiyo mimi ndio niishie kuliwa tu mkuu mwisho wa siku na mimi nataka nitengenezee familia yangu
Nini mtaalam?Wachaaa wee.
Hakuna Mzungu poriiii.Nini mtaalam?
Nipe nafasi hisia zitakujaHapo nimefeli mapenzi hisia
Sawa tajiriHakuna Mzungu poriiii.
πππππ
Utabondwaaa, ππππSawa tajiri
Vijana single wanaojielewa wapo kibao ila kila siku kujibanza kwa waume za watu.Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa
Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha upendo
Pamoja na red flag niliendelea kujiaminisha labda ni uoga wangu na kujipa imani kuwa hakuna mtu single ili uwe na mtu lazima umtoe kwa mtu
Naumia kujua kuwa huyu mwanaume ana mwanamke anaishi nae na sio tu kuishi nae amezaa nae mtoto(ameniambia mwenyewe baada ya kumbananisha) na nina uhakika wanaweza kuwa tayari wana ndoa japo sio kanisani but hata ya serikali
Mpk hapo sina nafasi tena kwake nachotamani ni namna ya kuondokana nae nifanyaje ni move on kwa huyu mtu maana nimejaribu nimeshindwa najikuta nashindwa kumuacha natamani awe wangu maana ndio huyohuyo nipo nae roho inauma mno.. nimekuwa mchepuko kitu ambacho sikuwahi kuwaza kwa maisha yangu yote huko nyumaπ
Wanawake wenzangu mliopitia situation kama hiyo mliwezaje mka move on nifanye nini mimi π’
Tumpe mudaHuyu bado mgeni kwenye ili game.
Sema komaa wwππWewe nae umekazana kwaiyo unafikiri kila mtu alipita hiyo njia unayosimulia
Unaonekana una hasira na ex wako aliekuacha kisa mubaba
Na mimi sitembeagi na wababa period
Na huyu naemzungumzia sio mubaba ni kijana tu hata 32 hajafika ndio kwanza ana pambana na maisha yake na wala hajajipata kusema ana mihela bado anaaso
So punguza ujuaji maisha ulioyopitia sio wote hupitia
Nikazie ana sura nzito niliamini hata wanawake wangekuwa wanamkataa mimi nimgande tu hana huo u handsome