Nahisi kuchanganyikiwa

Utapata kazi, usikate tamaaa. You will be fine. utatusua tu, usichoke. Giza linavyozidi ndo kunakaribia kumpampazuka.

Be hopefully, be prayerfull. It is well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kununua bando la kuja kupiga umbea humu jf. Badala ake tumia hiyo pesa kwenda kununua Vibebeo mubadala na kuiviuza masokoni.. utazalisha mkuu Wala hutalialia ovyo Namna hii.

Kuhusu Mapenzi Achana nayo kwanza Maana kupata hisia za Mapenzi wakati huna pesa hizo Ni dharau.

#LIFE IS GOOD, The future ft Drake. Pia download huu wimbo utakufariji na kukuonyesha njia na Namna ya kufanya ili angalau maisha yawe mazuri.
Natumai kijana umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…