chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,166
- 2,416
Ukiondoka Dar utapata unafuu, usiweke kigezo cha maisha ya DAr kuwa magumu kama chanzo cha matatizo yako. Fungua njia ukahangaikie pengine hautajutamaisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu
sawa mkuu.Ukiondoka Dar utapata unafuu, usiweke kigezo cha maisha ya DAr kuwa magumu kama chanzo cha matatizo yako. Fungua njia ukahangaikie pengine hautajuta
hayajakukuta ndugu.Wanawake billion 4 unalia kwa ajili ya mwanamke mmoja. Pole sana mkuu
Currently achana na mawazo ya mchuchu; sjui kuachwa haitokusaidia...relax; kaa chini; panga mipango ya kusimama upya bila kumuwaza mtu; wazia kwanza mustkabali wa maisha yako ya sasa na badae....!Maisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu
Hama nenda sehemu nyingine katafute maishaMaisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu
Kambaku maneno umeyamaliza, kwenye bible mitume pia walihama kutoka sehemu moja kwenda ingine, matajiri wakina manji wanahama dar kwa ugumu wa maisha, wewe unashikilia Dar umekuwa mkuu wa mkoa?
duhuCurrently achana na mawazo ya mchuchu; sjui kuachwa haitokusaidia...relax; kaa chini; panga mipango ya kusimama upya bila kumuwaza mtu; wazia kwanza mustkabali wa maisha yako ya sasa na badae....!
Ukimuwaza sana huyo mtu utakua unapoteza muda kujitafutia sababu za kwanini amekuacha...!
Sent using Jamii Forums mobile app
upo somewhere around in the city?wewe unashikilia Dar umekuwa mkuu wa mkoa?
Jr[emoji769]
Fanya hata biashara ndogo ndogo my broMaisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu
Maisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu
Proved: huyo mchumba wako hakupendi wala hajawai kukupenda. Alipenda vitu vyako. Sasa huu ndio muda wa kutafuta wa hadhi yako.Maisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu