Nahisi kama naota vile

Week 1 tu unamsifia?ngoja uje kulia hapa tukusikie kilio chako
 

demu unagawa wewe duhh siku tu ,,nimeamini nyege si mamaako umukagame ,,mkurya fanya kweli majira yanabadilika
 
Last edited by a moderator:
..
...Haaaahaaaa...Babu Asprin leo una kaziii.....ila kuna dawa ya #MAPENZI inauzwa nimeona...unatoa hela tu..unaona miss anakung'ang'ania hadi umchoke mwenyewe...!!!

Ntainunua nikipata kifaa kipya. miss neddy ni ndege wangu mwenyewe, sihitaji manati.
 
Last edited by a moderator:
utafiti usimsikilize babu mkongojo ananiwekea vesi hazina hata midundo lol afu Bantu lady kaka yako yu wapi naona wamemsahau humu lol
 
Last edited by a moderator:
Aiseee..unakitumikia chama kwa uadilifu mkubwa sana....

naam mwenyekiti. Edit kumbukumbu za chama. @míss neddy kakubali kwa hiari yake kuwa mwanachama. Huyu utafiti mpeleke kunako stahili apunguze vurugu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa ndo michango yenyewe hiyo...fursa baba..fursa


Mkuu hii haikubaliki kabisa, haiwezekani thread ya mwenzao waifanye asusa namna hii, hizi fursa sasa too much, sio kwamba nina wivu, Kwanini hammjali mwenye thread.? umukagame huwezi kuwaripoti hawa watu utafiti na Asprin kwa mods?

Brother mwekundu vipi matokeo ya Chelsea juzi? sikuwepo mjini.
 
Last edited by a moderator:

Mi ndo mwenyekiti wa mods wagawa ban. Kama wewe naweza kukulima ban mpaka kwenye seva kama utakuwa upande wa utafiti kwenye huu mtongozo rasmi.
 
Last edited by a moderator:
Hapa mtu anapambwa weee ngoja akae sawa watu wchekue vyao utasikia na kuona thred za kikuryA myu ana lalamika waschna wa JF
 
jana umedate nae. kisha akakupeleka home, jana hiyo hiyo au leo asubuhi, ila kama sijaelewa hivi, au hizi heineken zimeanza kunichanganya?
 

Hahahaa mkuu thread yenyewe ipo hapa kwa kudra za mwenyezi Mungu..mods wakiiona wanaeza kuitrash kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…