Nahisi kama naota vile

Sezae wake mwallu why ulitukimbia..kuna mtu kanikumbusha ww ni msukuma so hapa sio ww uliyepaishwa tehe tehe tehe



Mwanangu ATM walivyotufanya Alafu Darajani wewe unaona sawa? Haki ya nani nabata buchungu sn!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:



Aaaaaahg! Mukulu Eiyer tengua hiyo picha tafwadhali!


Yani basi zetu Mbili za Macopolo ATM wamezipitia na CRANE zao za DIEGO.


Duh nabata buchungu!


umukagame hakuna paroko hapa Wa kukufungisha ndoa maana ata Huyu nilie mchagua ananikumbusha maumivu!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa mkuu na uparoko wangu nijapotaman sana kukufungisha ndoa, sio ww na umukagame lol
mwallu hivi mchumbake Ntuzu apa ni.nani isije ikawa wanaishi kinyumba bila utaratibu😱


Wataka umfahamu mwenzangu Sio!?

Khe Khe Khe

Ngoja nikuitie Hawa wakuone ulivyo na hamu ya kufungisha ndoa watu!

Annie tian Karucee ebu pitieni huku mumuone Huyu paroko Kaizer
 
Last edited by a moderator:

 

Jf raha sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…